Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga kuongelea jambo lilelile miaka nenda miaka rudi. Ni wajinga pekee wanaobakia kwenye tukio lilelile . Ni wajinga pekee wanaobakia kwenye msiba miaka nenda miaka rudii.
Utaomboleza misiba mingapi? Kama huyu unayeomboleza miaka 4?
Ni jambo gani limekufanya umhusishe na hilo tukio ??
Katiba inaruhusu uhuru wa kuongea hata upumbavu ni maongeziUpumbavu tu mnaongelea hapa! Hivi Rais ndo aje ajibu kwa katiba hii iliyopo!!
Nonsense
Kanywe damu yake tutolee ujinga hapaKwasababu sio damu yako na huna utu hata kidg!
Chadema waliweza ku-track mazungumzo ya Zitto na kina Jack Zoka, Rostam nk kwa ufanisi wa kiwango cha juu. Hivi kwa utaalam wao ule wameshindwa kabisa kumtambua mtu aliyemtumia ujumbe ule Ben?Nauliza swali hili very technically
Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza
Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema
"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"
Hii uwa inanifikirisha ni ama watu walimtaim president wakafanya uhuni wa kumpoteza SAA nane baada ya kuhoji PHD wakampoteza ionekane Suspect ni yule alozungumziwa?
Yaan watengeneze mazingira kama walivyoyatengeneza kwa Lissu baada ya rais kusema kwamba "Tunapigana vita huyu mtu anageuka kupiga front, huyo ndo anauwawa"
Banda ya napo Risasi
Nauliza Ipo siku Raisi atawajibika kwa kupotea kwa Saa Nane, ama kwenye Taasisi au kwenye kuyakili makosa ya uongozi wake?
Britannica
Mkuu Britannica, maadam hakuna ajuaye kilimtokea nini Ben, na ni nani aliamrisha na aliyetekeleza, nashauri, sio busara kuelekeza kidole to specific people.Nauliza swali hili very technically
Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza
Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema
"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"
Hii uwa inanifikirisha ni ama watu walimtaim president wakafanya uhuni wa kumpoteza SAA nane baada ya kuhoji PHD wakampoteza ionekane Suspect ni yule alozungumziwa?
Yaan watengeneze mazingira kama walivyoyatengeneza kwa Lissu baada ya rais kusema kwamba "Tunapigana vita huyu mtu anageuka kupiga front, huyo ndo anauwawa"
Banda ya napo Risasi
Nauliza Ipo siku Raisi atawajibika kwa kupotea kwa Saa Nane, ama kwenye Taasisi au kwenye kuyakili makosa ya uongozi wake?
Britannica
My suspicion from day one.Soma uone Ben Saanane alichangia nini?, hivyo it might as well be an inside job.
P
Yaani wewe bado upo nyuma sana ,hivi haujajua kilichookea kwenye ile video ya ludovic na lwax? Ulisoma ripoti yake? Mwigulu alivyompa ludovic elfu 50?Ni wazi kuwa matukio ya namna hiyo ni Modus Operandi ya CHADEMA...rejea video ya Lwakatare na Ludovic kuhusu mpango mkakati wa kupaka matope serikali kupitia utekaji.
Na hii ya Kubenea na Komu Mwigulu aliwapa elfu ngapi?!Yaani wewe bado upo nyuma sana ,hivi haujajua kilichookea kwenye ile video ya ludovic na lwax? Ulisoma ripoti yake? Mwigulu alivyompa ludovic elfu 50?
Huyu dikteta muuaji ipo siku uovu wake utaanikwa hata kama atakuwa yuko kaburiniNauliza swali hili very technically
Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza
Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema
"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"
Hii uwa inanifikirisha ni ama watu walimtaim president wakafanya uhuni wa kumpoteza SAA nane baada ya kuhoji PHD wakampoteza ionekane Suspect ni yule alozungumziwa?
Yaan watengeneze mazingira kama walivyoyatengeneza kwa Lissu baada ya rais kusema kwamba "Tunapigana vita huyu mtu anageuka kupiga front, huyo ndo anauwawa"
Banda ya napo Risasi
Nauliza Ipo siku Raisi atawajibika kwa kupotea kwa Saa Nane, ama kwenye Taasisi au kwenye kuyakili makosa ya uongozi wake?
Britannica
Kuwa mpole brother Acha ukaliKanywe damu yake tutolee ujinga hapa
Wazazi inasemekana wamevuta ngawira wawe kimiyaInatia hasira sana hauwezi kumuua mtu kisa kuhoji phd ya :"mtu furani",hauwezi kumpiga risasi lissu kisa kutafuta documents za "akashia",aiseee ningependenda haki ya ben,azory zitendeke hata baada ya miaka 100.
Kwa mujibu wa Zitto alipofuatilia swala la ben katika ngazi zote polisi walimjibu Zitto sie tumefikia hapa katika ufuatiliaji ila mbele inaonekana amechukuliwa na "TEETH" ambapo sie hatuwezi kwenda.
Ben hakustahili kifo eti kwa kuhoji Phd ya mtu furani,mbona huyo mtu furani anatukana watu hovyo na kuwaita vilaza?? Bashite na mtu furani hivi mnadhani mtaishi milele? Nina hasira sana juu ya kifo cha Ben ninaamini lazima waje wapay the price,na pia wazazi wa Ben wapole sana yaani mwanao anauliwa halafu wakekaa kimya tu,wao wanamiliki mitutu na walinzi masaa 24 wamewazunguka lakini "Mizimu" haiangalii hivyo vitu ebu wazazi wa Ben jaribuni kustaki kwa Mizimu kuwateketeza wote waliotia mkono juu ya kifo cha BEN.
Possible naweza nikaamini wametulizwa chini kwa chini maana wapo kimya tu.Wazazi inasemekana wamevuta ngawira wawe kimiya