Je, Rais wa Tanzania ipo siku atakuwa na la Kujibu kwenye mamlaka zijazo juu ya Kupotea kwa Ben Saanane?

Je, Rais wa Tanzania ipo siku atakuwa na la Kujibu kwenye mamlaka zijazo juu ya Kupotea kwa Ben Saanane?

Kwenda zako huko kichwani hamnazo kwani JPM ni personal boardgard wa huyo mtu?
 
Nauliza swali hili very technically

Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza

Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema

"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"

Hii uwa inanifikirisha ni ama watu walimtaim president wakafanya uhuni wa kumpoteza SAA nane baada ya kuhoji PHD wakampoteza ionekane Suspect ni yule alozungumziwa?

Yaan watengeneze mazingira kama walivyoyatengeneza kwa Lissu baada ya rais kusema kwamba "Tunapigana vita huyu mtu anageuka kupiga front, huyo ndo anauwawa"

Banda ya napo Risasi

Nauliza Ipo siku Raisi atawajibika kwa kupotea kwa Saa Nane, ama kwenye Taasisi au kwenye kuyakili makosa ya uongozi wake?

Britannica
Chadema waliweza ku-track mazungumzo ya Zitto na kina Jack Zoka, Rostam nk kwa ufanisi wa kiwango cha juu. Hivi kwa utaalam wao ule wameshindwa kabisa kumtambua mtu aliyemtumia ujumbe ule Ben?

Kupotea kwa Ben kunatatiza sana kukichagizwa na kauli za mjumbe wa kamati kuu Mh Kubenea kwamba Ben hajatekwa wala kupotea, bali yupo kajificha sehemu salama kwa sababu anazozifahamu yeye na waliopanga naye.
 
Eti kijana mvuta bangi anahoji PHD ya mkuu wa nchi?? Anahoji kama nani? Yeye ndo mamlaka iliyomtunuku hiyo PHD? Vijana bangi zinawasumbua!
 
Nauliza swali hili very technically

Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza

Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema

"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"

Hii uwa inanifikirisha ni ama watu walimtaim president wakafanya uhuni wa kumpoteza SAA nane baada ya kuhoji PHD wakampoteza ionekane Suspect ni yule alozungumziwa?

Yaan watengeneze mazingira kama walivyoyatengeneza kwa Lissu baada ya rais kusema kwamba "Tunapigana vita huyu mtu anageuka kupiga front, huyo ndo anauwawa"

Banda ya napo Risasi

Nauliza Ipo siku Raisi atawajibika kwa kupotea kwa Saa Nane, ama kwenye Taasisi au kwenye kuyakili makosa ya uongozi wake?

Britannica
Mkuu Britannica, maadam hakuna ajuaye kilimtokea nini Ben, na ni nani aliamrisha na aliyetekeleza, nashauri, sio busara kuelekeza kidole to specific people.

Ben was one of the very intelligent young fellow, kupitia michango yake humu jf pia kuna issues mimi nilikuwa nazi raise humu against Chadema, we were sailing in the same boat na Ben Saanane, one of such issues ni hii.

Soma uone Ben Saanane alichangia nini?, hivyo it might as well be an inside job.

NB.
Kwa vile issue ya kutoweka kwa Ben Saanane ni so emotional na sentimental, naomba sana tuzingatie neno "could be".

There is a proof beyond reasonable doubt Chadema huwa inawafanya nini baadhi ya watu ambao ni threat kwa status quo yake. Rejea ile video "bonafide genuine " na kilichomkuta Kagenzi.

Tundu Lissu aliposhambuliwa pia nilitoa mangalizo yafuatayo

Kitu ambacho nina uhakika nacho 100% sure ni whoever aliyempoteza Ben Saanane will pay for sure.
Whoeve aliyemshambulia Lissu, will pay for sure.
Whoever anayefanya uovu wowote lazima atalipwa kupitia the law of Karma, what goes around, cames around.
P
 
Ni wazi kuwa matukio ya namna hiyo ni Modus Operandi ya CHADEMA...rejea video ya Lwakatare na Ludovic kuhusu mpango mkakati wa kupaka matope serikali kupitia utekaji.
Yaani wewe bado upo nyuma sana ,hivi haujajua kilichookea kwenye ile video ya ludovic na lwax? Ulisoma ripoti yake? Mwigulu alivyompa ludovic elfu 50?
 
Nauliza swali hili very technically

Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza

Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema

"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"

Hii uwa inanifikirisha ni ama watu walimtaim president wakafanya uhuni wa kumpoteza SAA nane baada ya kuhoji PHD wakampoteza ionekane Suspect ni yule alozungumziwa?

Yaan watengeneze mazingira kama walivyoyatengeneza kwa Lissu baada ya rais kusema kwamba "Tunapigana vita huyu mtu anageuka kupiga front, huyo ndo anauwawa"

Banda ya napo Risasi

Nauliza Ipo siku Raisi atawajibika kwa kupotea kwa Saa Nane, ama kwenye Taasisi au kwenye kuyakili makosa ya uongozi wake?

Britannica
Huyu dikteta muuaji ipo siku uovu wake utaanikwa hata kama atakuwa yuko kaburini
 
Inatia hasira sana hauwezi kumuua mtu kisa kuhoji phd ya :"mtu furani",hauwezi kumpiga risasi lissu kisa kutafuta documents za "akashia",aiseee ningependenda haki ya ben,azory zitendeke hata baada ya miaka 100.

Kwa mujibu wa Zitto alipofuatilia swala la ben katika ngazi zote polisi walimjibu Zitto sie tumefikia hapa katika ufuatiliaji ila mbele inaonekana amechukuliwa na "TEETH" ambapo sie hatuwezi kwenda.

Ben hakustahili kifo eti kwa kuhoji Phd ya mtu furani,mbona huyo mtu furani anatukana watu hovyo na kuwaita vilaza?? Bashite na mtu furani hivi mnadhani mtaishi milele? Nina hasira sana juu ya kifo cha Ben ninaamini lazima waje wapay the price,na pia wazazi wa Ben wapole sana yaani mwanao anauliwa halafu wakekaa kimya tu,wao wanamiliki mitutu na walinzi masaa 24 wamewazunguka lakini "Mizimu" haiangalii hivyo vitu ebu wazazi wa Ben jaribuni kustaki kwa Mizimu kuwateketeza wote waliotia mkono juu ya kifo cha BEN.
Wazazi inasemekana wamevuta ngawira wawe kimiya
 
Back
Top Bottom