Je, Rais wa Tanzania ipo siku atakuwa na la Kujibu kwenye mamlaka zijazo juu ya Kupotea kwa Ben Saanane?

Walipewa mil 130, wanawaangalia tu mnavyojifanya mna uchungu kuliko wao, we ushawai kuwasikia popote wakiomba msaada wa vyombo vya dola kuhusu mtoto wao au kuulizia imefikia wapi,
Aiseeeeeee[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I suspect Pascal Mayala is a double agent!!
 
Kubenea alisema Ben yupo mahali salama salmini, una mashaka na Kubenea?!
Serikali makini ingeanzia kwa Kubenea. Je, yuko juu ya sheria. Hivi nikimteka au kumuua mtoto au Ndugu yangu, serikali itakaa kimya tu ikijifanya haiwajibiki kuchukua hatua kwa kuwa ni mambo ya familia!!!?
Hapa ndipo ninapoyashangaa maoni ya watu kama wewe na akina Pascal.
 
"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"
Jr[emoji769]
 
Atajibu akistaafu kama alivyojibu mwenzake mstaafu Ben kuhusu mauaji ya kule pemba, atasema haya; ''nasikitika kilichotokea katika uongozi wangu ila sikuwepo katika tukio wakati yanatokea''.
 
Ujinga kuongelea jambo lilelile miaka nenda miaka rudi. Ni wajinga pekee wanaobakia kwenye tukio lilelile . Ni wajinga pekee wanaobakia kwenye msiba miaka nenda miaka rudii.
Utaomboleza misiba mingapi? Kama huyu unayeomboleza miaka 4?
Utakuwa ni mmoja wa watu wasiojulikana mnaoua watu hovyo washenzi kabisa nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…