britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
- #101
NamHe is a suspect no# 1 he must be held accountable for that.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NamHe is a suspect no# 1 he must be held accountable for that.
Aiseeeeeee[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Walipewa mil 130, wanawaangalia tu mnavyojifanya mna uchungu kuliko wao, we ushawai kuwasikia popote wakiomba msaada wa vyombo vya dola kuhusu mtoto wao au kuulizia imefikia wapi,
Hata akifa kaburi lake tutalitandika viboko kumaliza hasira
I suspect Pascal Mayala is a double agent!!OK hilo linawezekana, hapo ndio inapodhibitisha kuwa tuna serikali dhaifu katika uchunguzi, iliyo jaa upumbavu katika ushabiki na watendaji wa hovyo!
Intelijensia watambayo nayo kila siku kuhusu kuzuia mikutano ya ndani na nje wameshindwa kubaini walivyo mpoteza mwanachama na kuchukua hatua ambazo zingewamaliza kuliko kukazania kubambika risasi iliyo muua Akwilina ambayo hata kichaa anajua kuwa ni polisi?
Pascal Mayalla naye anasema could be inside job! kweli degree yake moja (maana wenye NNE ndio wenye akili-Mwakyembe) ya sheria ndio inaweza kumtuma kutamka hayo?
Chadema waue mtu wao halafu file LA polisi lifungwe bila kula kichwa cha mtu?
Tunaposhauri tuwe na hekima maana tunaowashauri wengine wana digrii nne (joke).
Serikali makini ingeanzia kwa Kubenea. Je, yuko juu ya sheria. Hivi nikimteka au kumuua mtoto au Ndugu yangu, serikali itakaa kimya tu ikijifanya haiwajibiki kuchukua hatua kwa kuwa ni mambo ya familia!!!?Kubenea alisema Ben yupo mahali salama salmini, una mashaka na Kubenea?!
Nauliza swali hili very technically
Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza
Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema
"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"
Hii uwa inanifikirisha ni ama watu walimtaim president wakafanya uhuni wa kumpoteza SAA nane baada ya kuhoji PHD wakampoteza ionekane Suspect ni yule alozungumziwa?
Yaan watengeneze mazingira kama walivyoyatengeneza kwa Lissu baada ya rais kusema kwamba "Tunapigana vita huyu mtu anageuka kupiga front, huyo ndo anauwawa"
Banda ya napo Risasi
Nauliza Ipo siku Raisi atawajibika kwa kupotea kwa Saa Nane, ama kwenye Taasisi au kwenye kuyakili makosa ya uongozi wake?
Britannica
Kama Ni chadema mbona hamtaki Interpol FBI Scotland Yard waje kutegua kitendawili?
Usimuamini Kila Mwana JFI suspect Pascal Mayala is a double agent!!
Atajibu akistaafu kama alivyojibu mwenzake mstaafu Ben kuhusu mauaji ya kule pemba, atasema haya; ''nasikitika kilichotokea katika uongozi wangu ila sikuwepo katika tukio wakati yanatokea''.
Ni wazi kuwa matukio ya namna hiyo ni Modus Operandi ya CHADEMA...rejea video ya Lwakatare na Ludovic kuhusu mpango mkakati wa kupaka matope serikali kupitia utekaji.
But I think now they met in dead bodiesHe is a suspect no# 1 he must be held accountable for that.
Utakuwa ni mmoja wa watu wasiojulikana mnaoua watu hovyo washenzi kabisa nyieUjinga kuongelea jambo lilelile miaka nenda miaka rudi. Ni wajinga pekee wanaobakia kwenye tukio lilelile . Ni wajinga pekee wanaobakia kwenye msiba miaka nenda miaka rudii.
Utaomboleza misiba mingapi? Kama huyu unayeomboleza miaka 4?
KupoHivi tangu kapilimba atolewe mbona hamna kutekana tena?