Je, Rais wa Tanzania ipo siku atakuwa na la Kujibu kwenye mamlaka zijazo juu ya Kupotea kwa Ben Saanane?

Je, Rais wa Tanzania ipo siku atakuwa na la Kujibu kwenye mamlaka zijazo juu ya Kupotea kwa Ben Saanane?

Walipewa mil 130, wanawaangalia tu mnavyojifanya mna uchungu kuliko wao, we ushawai kuwasikia popote wakiomba msaada wa vyombo vya dola kuhusu mtoto wao au kuulizia imefikia wapi,
Aiseeeeeee[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OK hilo linawezekana, hapo ndio inapodhibitisha kuwa tuna serikali dhaifu katika uchunguzi, iliyo jaa upumbavu katika ushabiki na watendaji wa hovyo!
Intelijensia watambayo nayo kila siku kuhusu kuzuia mikutano ya ndani na nje wameshindwa kubaini walivyo mpoteza mwanachama na kuchukua hatua ambazo zingewamaliza kuliko kukazania kubambika risasi iliyo muua Akwilina ambayo hata kichaa anajua kuwa ni polisi?
Pascal Mayalla naye anasema could be inside job! kweli degree yake moja (maana wenye NNE ndio wenye akili-Mwakyembe) ya sheria ndio inaweza kumtuma kutamka hayo?
Chadema waue mtu wao halafu file LA polisi lifungwe bila kula kichwa cha mtu?
Tunaposhauri tuwe na hekima maana tunaowashauri wengine wana digrii nne (joke).
I suspect Pascal Mayala is a double agent!!
 
Kubenea alisema Ben yupo mahali salama salmini, una mashaka na Kubenea?!
Serikali makini ingeanzia kwa Kubenea. Je, yuko juu ya sheria. Hivi nikimteka au kumuua mtoto au Ndugu yangu, serikali itakaa kimya tu ikijifanya haiwajibiki kuchukua hatua kwa kuwa ni mambo ya familia!!!?
Hapa ndipo ninapoyashangaa maoni ya watu kama wewe na akina Pascal.
 
"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"
Nauliza swali hili very technically

Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza

Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema

"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"

Hii uwa inanifikirisha ni ama watu walimtaim president wakafanya uhuni wa kumpoteza SAA nane baada ya kuhoji PHD wakampoteza ionekane Suspect ni yule alozungumziwa?

Yaan watengeneze mazingira kama walivyoyatengeneza kwa Lissu baada ya rais kusema kwamba "Tunapigana vita huyu mtu anageuka kupiga front, huyo ndo anauwawa"

Banda ya napo Risasi

Nauliza Ipo siku Raisi atawajibika kwa kupotea kwa Saa Nane, ama kwenye Taasisi au kwenye kuyakili makosa ya uongozi wake?

Britannica

Jr[emoji769]
 
Ujinga kuongelea jambo lilelile miaka nenda miaka rudi. Ni wajinga pekee wanaobakia kwenye tukio lilelile . Ni wajinga pekee wanaobakia kwenye msiba miaka nenda miaka rudii.
Utaomboleza misiba mingapi? Kama huyu unayeomboleza miaka 4?
Utakuwa ni mmoja wa watu wasiojulikana mnaoua watu hovyo washenzi kabisa nyie
 
Back
Top Bottom