wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Hakuna anaesunbua sumbua kiasi cha kumlaza mh kwa mawazoHivi tangu kapilimba atolewe mbona hamna kutekana tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna anaesunbua sumbua kiasi cha kumlaza mh kwa mawazoHivi tangu kapilimba atolewe mbona hamna kutekana tena?
Wewe PIMBI jaribu kuwa na UTU hata mara moja moja, huyo aliyepotezwa ni Binadamu sio mnyama. Hebu weka picha kama angekuwa ni ndugu yako, mwanao, kaka, mdogo wako n.kKanywe damu yake tutolee ujinga hapa
OK hilo linawezekana, hapo ndio inapodhibitisha kuwa tuna serikali dhaifu katika uchunguzi, iliyo jaa upumbavu katika ushabiki na watendaji wa hovyo!My suspicion from day one.
Hayo ni matusi kwa wale wazee. Mnategemea wangefanya nini zaidi ya kumshukuru Mungu na kukubali yaishe tuu? Kupewa mshiko kwa ajili ya mwanao ambaye hujui yuko wapi, anahali gani?! Sio vizuri!Possible naweza nikaamini wametulizwa chini kwa chini maana wapo kimya tu.
Unalielezeaje lile la Kubenea na Komu kupanga kumdhuru Jacob! Was it not an inside job?!OK hilo linawezekana, hapo ndio inapodhibitisha kuwa tuna serikali dhaifu katika uchunguzi, iliyo jaa upumbavu katika ushabiki na watendaji wa hovyo!
Intelijensia watambayo nayo kila siku kuhusu kuzuia mikutano ya ndani na nje wameshindwa kubaini walivyo mpoteza mwanachama na kuchukua hatua ambazo zingewamaliza kuliko kukazania kubambika risasi iliyo muua Akwilina ambayo hata kichaa anajua kuwa ni polisi?
Pascal Mayalla naye anasema could be inside job! kweli degree yake moja (maana wenye NNE ndio wenye akili-Mwakyembe) ya sheria ndio inaweza kumtuma kutamka hayo?
Chadema waue mtu wao halafu file LA polisi lifungwe bila kula kichwa cha mtu?
Tunaposhauri tuwe na hekima maana tunaowashauri wengine wana digrii nne (joke).
Nakumbuka sometimes in 1979 Iddi Amin akiwa uhamishoni Saudi Arabia alimwambia mwandishi wa habari wa Reuters aliyekuwa akimuhoji kuwa, "I could not be everywhere to protect everybody".Kwenda zako huko kichwani hamnazo kwani JPM ni personal boardgard wa huyo mtu?
Walipewa mil 130, wanawaangalia tu mnavyojifanya mna uchungu kuliko wao, we ushawai kuwasikia popote wakiomba msaada wa vyombo vya dola kuhusu mtoto wao au kuulizia imefikia wapi,Possible naweza nikaamini wametulizwa chini kwa chini maana wapo kimya tu.
Ipo Siku ingawa yeye kwa sasa haoni wala kuwaza kuwa kuna siku ataondoka madarakani kafungwa macho. Na alivyo muaoga natalia na kusaga meno. Ooh watanzania nimewanunulia mandege na kuwajengea mabarabara leo ndio unaifanyia hivi. Hiyo siku inakujaNauliza swali hili very technically
Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza
Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema
"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"
Hii uwa inanifikirisha ni ama watu walimtaim president wakafanya uhuni wa kumpoteza SAA nane baada ya kuhoji PHD wakampoteza ionekane Suspect ni yule alozungumziwa?
Yaan watengeneze mazingira kama walivyoyatengeneza kwa Lissu baada ya rais kusema kwamba "Tunapigana vita huyu mtu anageuka kupiga front, huyo ndo anauwawa"
Banda ya napo Risasi
Nauliza Ipo siku Raisi atawajibika kwa kupotea kwa Saa Nane, ama kwenye Taasisi au kwenye kuyakili makosa ya uongozi wake?
Britannica
Kwani makosa ya wanachama wawili dhidi ya mwanachama mwenzao utaitaje inside job? Kwani ni mipango ya chama?Unalielezeaje lile la Kubenea na Komu kupanga kumdhuru Jacob! Was it not an inside job?!
Mkuu Britannica, maadam hakuna ajuaye kilimtokea nini Ben, na ni nani aliamrisha na aliyetekeleza, nashauri, sio busara kuelekeza kidole to specific people.
Ben was one of the very intelligent young fellow, kupitia michango yake humu jf pia kuna issues mimi nilikuwa nazi raise humu against Chadema, we were sailing in the same boat na Ben Saanane, one of such issues ni hii.
Tuhuma Hii: CHADEMA kuendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa
Wanabodi, Uendeshaji wa vyama vya siasa nchini, unaongozwa na sheria, taratibu na kanuni. Ikithibitika pasipo shaka kuwa chama fulani, kinakiuka sheria, taratibu na kanuni, kinapaswa kuwajibishwa, kuadhibiwa hata kufutwa, kutegemeana na tuhuma halisi!. Miongoni mwa masharti ya usajili wa...www.jamiiforums.com
Soma uone Ben Saanane alichangia nini?, hivyo it might as well be an inside job.
NB.
Kwa vile issue ya kutoweka kwa Ben Saanane ni so emotional na sentimental, naomba sana tuzingatie neno "could be".
There is a proof beyond reasonable doubt Chadema huwa inawafanya nini baadhi ya watu ambao ni threat kwa status quo yake. Rejea ile video "bonafide genuine " na kilichomkuta Kagenzi.
Tundu Lissu aliposhambuliwa pia nilitoa mangalizo yafuatayo
Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
Wanabodi, Tangu kutokea kwa shambulizi kwa Mhe.Tundu Lissu, ambalo mpaka sasa linaelezwa kufanywa na watu wasiojulikana, kumeibuka shauku kubwa ya watu kutaka kuwabaini hawa watu wanaoitwa ni watu wasiojulikana, ni kina nani?, wanatumwa na nani? na lengo lao ni nini?, kunakopelekea kujengwa kwa...www.jamiiforums.com
Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?
Wanabodi Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu, "Shambulizi la Lissu, wanaomdhania dereva anahusika, sio wajinga!, wana hoja za msingi!" Swali ni Jee Dereva Anahusika? Si maanishi kuwa dereva wa Lissu anahusika, bali mazingira ya tukio...www.jamiiforums.com
Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!
Wanabodi, Hili ni bandiko la wito wa Tuacheni Ramli Chonganishi Kuhusu Mhusika wa Shambulizi la Risasi kwa Mhe. Tundu Lissu, kupotea kwa mwana jf maarufu Ben Saanane, kupotea kwa mwanahabari Azory Gwanda, kuibuliwa kwa miili yenye majeraha kwenye viroba, au vitendo vingine vyovyote vya...www.jamiiforums.com
Kitu ambacho nina uhakika nacho 100% sure ni whoever aliyempoteza Ben Saanane will pay for sure.
Whoeve aliyemshambulia Lissu, will pay for sure.
Whoever anayefanya uovu wowote lazima atalipwa kupitia the law of Karma, what goes around, cames around.
P
Inaonekana una ufahamu na mahali alipo Ben na kuwa yu hai; tusaidiie tafadhali hata Kama unahitaji malipo tutachanga, mbona Lisu tulichanga!!!?Wewe umethibitisha kifo chake au unaropoka tu? Washtaki kwa mizimu? Ngoja niishie hapo
Now you're talking. Safi sana.Kwani makosa ya wanachama wawili dhidi ya mwanachama mwenzao utaitaje inside job? Kwani ni mipango ya chama?
Ni sawa na uhalifu wa wa Tanzania wawili dhidi ya Mtanzania mwingine uite inside job kwa serikali.
Nani aliwapa hiyo hela na kwa nini. Huyu Beni labda hata alibonyezwa kabla na akasepa zake ughaibuni.Walipewa mil 130, wanawaangalia tu mnavyojifanya mna uchungu kuliko wao, we ushawai kuwasikia popote wakiomba msaada wa vyombo vya dola kuhusu mtoto wao au kuulizia imefikia wapi,
When you don't know for sure who is who, you can't rule out any possibility, ila kwenye hili la Akwilina, mimi nilisema wazi wauaji ni polisi wetuOK hilo linawezekana, hapo ndio inapodhibitisha kuwa tuna intelijensia kila siku kuzuia mikutano ya ndani na nje wameshindwa kubaini na kukazania kubambika risasi iliyo muua Akwilina ambayo hata kichaa anajua kuwa ni polisi?
Hawana lead ya pa kuanzia!, ndio maana hata uchunguzi wa shambulizi la Lissu bado haujaanza kwasababu wanamsubiri Lissu na dereva wake, wawahoji ndipo waanze uchunguzi.Kama ingekuwa ni inside job basi uchunguzi ungefanywa kwa kasi ya bombadia, kwa urefu wa SGR na ukubwa wa Stieglers
Kubenea alisema Ben yupo mahali salama salmini, una mashaka na Kubenea?!Inaonekana una ufahamu na mahali alipo Ben na kuwa yu hai; tusaidiie tafadhali hata Kama unahitaji malipo tutachanga, mbona Lisu tulichanga!!!?
Hawana lead ya pa kuanzia!, ndio maana hata uchunguzi wa shambulizi la Lissu bado haujaanza kwasababu wanamsubiri Lissu na dereva wake, wawahoji ndipo waanze uchunguzi.
P