Je, Rais wa Tanzania ipo siku atakuwa na la Kujibu kwenye mamlaka zijazo juu ya Kupotea kwa Ben Saanane?

Nauliza swali hili very technically

Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza

Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema

"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"

Hii uwa inanifikirisha ni ama watu walimtaim president wakafanya uhuni wa kumpoteza SAA nane baada ya kuhoji PHD wakampoteza ionekane Suspect ni yule alozungumziwa?

Yaan watengeneze mazingira kama walivyoyatengeneza kwa Lissu baada ya rais kusema kwamba "Tunapigana vita huyu mtu anageuka kupiga front, huyo ndo anauwawa"

Banda ya napo Risasi

Nauliza Ipo siku Raisi atawajibika kwa kupotea kwa Saa Nane, ama kwenye Taasisi au kwenye kuyakili makosa ya uongozi wake?

Britannica
Huyu ajibu ama asijibu tuko naye...hadi na yeye tumgonge kisigino chake!
 
Siku ya uzinduzi wa kitabu cha Ben nilimsikia akisema eti anatamani kuwa kijana kama mzee kikwete nae akistaafu apumzike nikajiuliza hivi kweli huyu mzee anajua yanayotokea kipindi chake au ndo waneona watanzania malofa hawatafanya chochote!
 
Kubenea alisema Ben yupo mahali salama salmini, una mashaka na Kubenea?!
Tafadhali Sana mkuu, hapa tunaongelea maisha ya mtu ambaye kwa miaka mitatu Sasa haijulikani alipo. Tusifanye mzaha hata kidogo. Iwapo Kubenea au mtu mwingine yeyote anahusika na suala la Ben, tunatarajia serikali iliyoapa kulinda Wananchi wake ichukue hatua. Mbona ipo kimya!!!? Kubenea ana maslahi gani na serikali katika kumficha Ben!!!?
 
Siku ya uzinduzi wa kitabu cha Ben nilimsikia akisema eti anatamani kuwa kijana kama mzee kikwete nae akistaafu apumzike nikajiuliza hivi kweli huyu mzee anajua yanayotokea kipindi chake au ndo waneona watanzania malofa hawatafanya chochote!
Yaani asifikiri kwa matendo yake haya ya kifidhuli atakaa kwa raha. Yaani upoteze watu kwa ujeuri tu halafu ukale bata na raha zako bila mizinga iliyokuzunguka, hapo nitajua kuwa watanzania ni mazezeta hasa!!!
 
Mkapa kaandika kwamba CCM ilitumia hela za EPA kwenye uchaguzi.

Hii ni confession.

Kuna mtu yeyote anayemshitaki?

Kuna wa kumshitaki??

We’re not a litigious society.

Watu wamedai Rais Magufuli kavunja katiba wiki iliyopita tu.

Wamelia lia kwenye mtandao wee, mwishowe wamesahau wenyewe.

Mtu pekee aliyekuwa na gonads za kwenda mahakamani alikuwa ni marehemu Christopher Mtikila.

Mtikila alikuwa halalamiki kwenye vyombo vya habari tu.

Alikuwa anaenda mahakamani.

Wengine wengi waliobaki uanaharakati wao ni wa kwenye mitandao ya kijamii tu.
 
Kuna wa kumshitaki??

We’re not a litigious society.

Watu wamedai Rais Magufuli kavunja katiba wiki iliyopita tu.

Wamelia lia kwenye mtandao wee, mwishowe wamesahau wenyewe.

Mtu pekee aliyekuwa na gonads za kwenda mahakamani alikuwa ni marehemu Christopher Mtikila.

Wengine wengi waliobaki uanaharakati wao ni wa kwenye mitandao ya kijamii tu.
Hiki alichofanya Mkapa ni bonge la confession. Na kaweza kupata guts za kufanya hivyo kwa sababu anajua hakuna wa kumfanya kitu.

Nimeona Twitter Zitto kafurahia sana anasema "this is very good", kama zuzu.

Mkapa kawachota akili mpaka kina Zitto kwa confession iliyojaa uongo. Mkapa ni brutal investigatore, veteran journalist. Si mtu wa kupewa ushauri mbaya na Dalali halafu asijue kinachoendelea.

The book is an exercise in public relations.
 
Mimi naamini kabisa kama Mchungaji Mtikila angekuwa bado yupo hai na mwenye afya njema, serikali ya Magufuli ingekuwa ishapelekwa mahakamani siku nyingi sana.

Naamini kabisa angekuwa keshaenda mahakamani kuhusu bunge kutoonyeshwa live. Angekuwa keshaenda kuhusu vyama vya siasa kupigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa.

At least hayo mawili, naamini kabisa asingeishia kunung’unika tu huku uraiani.

Whether angeshinda au la, that’s beside the point.

It’s just the principle of it.
 
Nauliza swali hili very technically

Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza

Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema

"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"

Hii uwa inanifikirisha ni ama watu walimtaim president wakafanya uhuni wa kumpoteza SAA nane baada ya kuhoji PHD wakampoteza ionekane Suspect ni yule alozungumziwa?

Yaan watengeneze mazingira kama walivyoyatengeneza kwa Lissu baada ya rais kusema kwamba "Tunapigana vita huyu mtu anageuka kupiga front, huyo ndo anauwawa"

Banda ya napo Risasi

Nauliza Ipo siku Raisi atawajibika kwa kupotea kwa Saa Nane, ama kwenye Taasisi au kwenye kuyakili makosa ya uongozi wake?

Britannica

Shukuru kwa uhuru wa Kinywa.
 
Nyani Ngabu, watu wameshakwenda Mahakamani kwenye ishu nyingi sana but Mahakama hii inaonekana nayo imekaa kisiasa siku hizi

1. Watu walienda mahakamani kuzuia CAG asiende bungeni kamati ya maadili
2.Watu wamekwenda mahakamani ishu ya Wakurugenzi kutosimamia uchaguzi
3. Watu wamekwenda mahakani uteuzi wa Attorney General

Watu wamekwenda mahakamani mara kibao, lakini mahakama hii inatoa uamuzi ambao umekaa kisiasa siasa
 
Ndo maana hapo juu nikasema kuwa suala la kwenda mahakamani ni la ki principle.

Mchungaji Mtikila alikuwa anaenda mahakamani regardless!!
 
Nauliza swali hili very technically

Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza

Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema

"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"

Hii uwa inanifikirisha ni ama watu walimtaim president wakafanya uhuni wa kumpoteza SAA nane baada ya kuhoji PHD wakampoteza ionekane Suspect ni yule alozungumziwa?

Yaan watengeneze mazingira kama walivyoyatengeneza kwa Lissu baada ya rais kusema kwamba "Tunapigana vita huyu mtu anageuka kupiga front, huyo ndo anauwawa"

Banda ya napo Risasi

Nauliza Ipo siku Raisi atawajibika kwa kupotea kwa Saa Nane, ama kwenye Taasisi au kwenye kuyakili makosa ya uongozi wake?

Britannica
Umeuliza kijanja lakini tumekuelewa.
 
Mimi naamini kabisa kama Mchungaji Mtikila angekuwa bado yupo hai na mwenye afya njema, serikali ya Magufuli ingekuwa ishapelekwa mahakamani siku nyingi sana.

Naamini kabisa angekuwa keshaenda mahakamani kuhusu bunge kutoonyeshwa live. Angekuwa keshaenda kuhusu vyama vya siasa kupigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa.

At least hayo mawili, naamini kabisa asingeishia kunung’unika tu huku uraiani.

Whether angeshinda au la, that’s beside the point.

It’s just the principle of it.
Halafu ujue mahakamani, hususan mahakama za juu, kuna majaji wanaweza kuwa wako tayari kutoa just rulings zitakazopingana na serikali.

Hili tushaliona awali.

Lakini majaji hao hawawezi juqnzisha kesi wenyewe, inabidi jesi zianzishwe, pengine ziletewe figisu za kisiasa, zikatiwe rufani, zifike mpaka juu huko.

Hizi kesi kubwa nazo zina tabia ya kuwahukumu wahukumu, maana yake, the judges themselves will be on trial, watu watawaangalia wanakwenda upande wa haki au upande wa kutetea serikali?

Na majaji wengine hawatataka kuchafuliwa heshima zao, kama serikali inakosea watasema.

Sasa kama kesi hazianzishwi, wao kama majaji inakuwa vigumu kutoa rulings kwa kesi ambazo hazipo.

Tunahitaji kuanzisha kesi zaidi.

Hata zikiletewa figusu tujue nani kasimama wapi. Tujifunze pa kujipanga vizuri zaidi.
 
Nauliza swali hili very technically

Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza

Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema

"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"

Hii uwa inanifikirisha ni ama watu walimtaim president wakafanya uhuni wa kumpoteza SAA nane baada ya kuhoji PHD wakampoteza ionekane Suspect ni yule alozungumziwa?

Yaan watengeneze mazingira kama walivyoyatengeneza kwa Lissu baada ya rais kusema kwamba "Tunapigana vita huyu mtu anageuka kupiga front, huyo ndo anauwawa"

Banda ya napo Risasi

Nauliza Ipo siku Raisi atawajibika kwa kupotea kwa Saa Nane, ama kwenye Taasisi au kwenye kuyakili makosa ya uongozi wake?

Britannica
Ben saanane ni nani ktk taifa hili?
 
Chadema wanahusika. Vile vile wafuatilie kwa nini alikimbia India, kuna tetesi aliua kule.

LOooo! wewe ndie yule 'Ole' wa kule kwenye ile mada ya Sokoine?
Samahani, sikujua. Pole sana!
 
Nauliza swali hili very technically

Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza

Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema

"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane andika Lakin ipo siku utajikuta mwenyewe na chatu"

Hii uwa inanifikirisha ni ama watu walimtaim president wakafanya uhuni wa kumpoteza SAA nane baada ya kuhoji PHD wakampoteza ionekane Suspect ni yule alozungumziwa?

Yaan watengeneze mazingira kama walivyoyatengeneza kwa Lissu baada ya rais kusema kwamba "Tunapigana vita huyu mtu anageuka kupiga front, huyo ndo anauwawa"

Banda ya napo Risasi

Nauliza Ipo siku Raisi atawajibika kwa kupotea kwa Saa Nane, ama kwenye Taasisi au kwenye kuyakili makosa ya uongozi wake?

Britannica

Du unaishi nje ya wapi mwenzetu na Winter Hii iliyoanza inayokupunguza uwezo wa kufikiri badala ya kuongeza. Imani yangu huku ambako Hakuna vya bure vikusaidie kuwa mtu wa mantiki. Ndugu yangu Hakuna mpumbavu atakayekupa taarifa ya namna hiyo kabla ya kukupoteza. Tumia akili yako kukufanya uendelee sio majungu ya kitoto.
 
Back
Top Bottom