Je, Rais wa Yanga Hersi Said anaweza kuwa ni mwanafunzi wangu wa soka?

Je, Rais wa Yanga Hersi Said anaweza kuwa ni mwanafunzi wangu wa soka?

Heshima yako mzee wangu ,sikujua ni wewe Ila mpaka hapo nimekujua mzee wangu .

Yule ameolewa kitambo kidogo Sasa
Hamna hauwezi kunijua. Halafu mimi si mkubwa kihivyoo ujanja wa uwanjani ndiyo uliniheshimisha. Naweza kuwa umri huo huo wa kina Hersi. Namzidi au ananizidi miaka 2 au 3 tu.
 
Mkuu, sasa huyo Eng. si kisoka anatakiwa awe ni babu, ameshastaafu na kumaliza mafao?
Kama umri wake niliouona mitandaoni ni sahihi, Hersi ni umri wa kina Chama ambao bado wanagombaniwa na vigogo
 
Anazunguku zunguka tu huko na hizi habari za maupinde zilivyoenea. Awe salama tu.
 
Teh teh, uwe unatrain wanafunzi 20 halafu usiwajue majina? Kama huyo Hersi ulimfundisha usingebabaika kusema inawezekana alikuwa mwanafunzi wako!!
Kiufupi hata mpira huujui!
Halafu kweli. Sina hata cha kujitetea! Vipi umeridhika? Mswahili atabaki kuwa mswahili tu!
 
Teh teh, uwe unatrain wanafunzi 20 halafu usiwajue majina? Kama huyo Hersi ulimfundisha usingebabaika kusema inawezekana alikuwa mwanafunzi wako!!
Kiufupi hata mpira huujui!
Wazee wa fix
 
Halafu kweli. Sina hata cha kujitetea! Vipi umeridhika? Mswahili atabaki kuwa mswahili tu!
Niridhike na kipi sasa? Ulichoandika ni chakula? Then unaposema huna cha kujitetea, ulicholeta ni mashtaka kumbe!!!!?!!
 
Back
Top Bottom