Hamna hauwezi kunijua. Halafu mimi si mkubwa kihivyoo ujanja wa uwanjani ndiyo uliniheshimisha. Naweza kuwa umri huo huo wa kina Hersi. Namzidi au ananizidi miaka 2 au 3 tu.Heshima yako mzee wangu ,sikujua ni wewe Ila mpaka hapo nimekujua mzee wangu .
Yule ameolewa kitambo kidogo Sasa
Halafu kweli. Sina hata cha kujitetea! Vipi umeridhika? Mswahili atabaki kuwa mswahili tu!Teh teh, uwe unatrain wanafunzi 20 halafu usiwajue majina? Kama huyo Hersi ulimfundisha usingebabaika kusema inawezekana alikuwa mwanafunzi wako!!
Kiufupi hata mpira huujui!
Wazee wa fixTeh teh, uwe unatrain wanafunzi 20 halafu usiwajue majina? Kama huyo Hersi ulimfundisha usingebabaika kusema inawezekana alikuwa mwanafunzi wako!!
Kiufupi hata mpira huujui!
Niridhike na kipi sasa? Ulichoandika ni chakula? Then unaposema huna cha kujitetea, ulicholeta ni mashtaka kumbe!!!!?!!Halafu kweli. Sina hata cha kujitetea! Vipi umeridhika? Mswahili atabaki kuwa mswahili tu!
Huyu hata akikuambia yupo sebuleni kwake usiamini..Ukiaikiliza story za Genta na yeye anasema alikua wa noma kifupi hakuna aliekua mnyonge