Je, RITA wameshaanza kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

Je, RITA wameshaanza kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

je nikienda pale pale kwenye ofisi zao itasaidia??
 
Kijana ukishamaliza tu kujaza ile fomu na ku appload Cheti unaletewa control number Na inakuwa kwenye waiting for payment .. huwezi kaa siku tatu hujapata control number.. changamka kijana
samahan, kwe entry number najaza namba gan?
 
Back
Top Bottom