Je, RITA wameshaanza kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

Je, RITA wameshaanza kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

Sijaelewa jibu lako mkuu nipe mchanganuo..Nimeuliza zaidi ya swali moja na yote yanaweza kujibiwa kwa jibu la ndio
nilazima uhakiki ,unapohakiki hicho cheti unapata mhuri ,huo mhuri unakusaidi kuendelea na process zengine za kuomba mkopo
 
Jaman hivi system ya rita ikoje, ni siku ya 17 sasa sijapata majkbu yoyote , hawajarudisha cheti,, nikiwapigia simu zao mda wote busy na siku ndo ivo zinaisha.. Kuna ambao waliocheleweshewa majibu kama mimi??
 
Vumilia,wanachelewa lakini wanatuma.
 
wakuu...kwaio hii steg ndio ya mwisho? niendeleee kusubir tu
Screenshot_20200814-124126.jpg
 
Naomba kuuliza wakuu, in case kama ikitokea umepata ripoti kuwa hukuambatanisha cheti chako cha kuzaliwa Rita, utahitajika kuanza zile process upya, au unaweza ingia tu sehemu ya certificate verification kwa kisha kwenye sehemu ya paid application nabonyeza sehemu ya upload document kisha naiweka tena?

Naomba kufahamishwa hapo
 
Anza upya
 
Wanasema hatukuambatanisha Cheri ili Hali tuliambatanisha
 
Attachments

  • IMG_20200815_132412.jpg
    IMG_20200815_132412.jpg
    11.1 KB · Views: 7
Hv mdau ukitumiwa Chet chako na Rita kwenye accountambacho kishathibitishwa. Ile account inaweza kupotea na usikione cheti chako tena kama mfumo wao utaisha baada ya kufunga maombi ya mkopo(helsb)..?
 
Back
Top Bottom