Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimeshamaliza hizo stage zote changamoto sijui naki download wapi baada ya kuwa kimeshakuwa certified siku ya tano leo naona kimya tuUkishalipia kuna sehemu itatokea chini Baada ya waiting for payment list ambayo ni paid applicants Yaan data zilizokuepo kwenye waiting for payment list zitahamia chini Baada ya kulipa hiyo hela yao..hapo utaweza ku view status yako hapo kwenye paid applicant
Hivi mwisho una download kupitia wapi maana siku ya tano leo sioni chochoteNarudia tena changamka kaka .. na ukumbuke inachukua siku kumi kujibiwa .........
duh kweli kasheshe nikazani ni kwa siku tatu imezid sana wiki kama ilivyokuwa mwanzo kumbe 10days kbs inabd niwe mpole
Ukiingia kwenye Rita login,utaingiza username yako na password kama kimeshahakikiwa,utaona sehem imeandikwa [SUB]view attachment [/SUB] hapo hapo ukibonyeza kitajidownloadHivi mwisho una download kupitia wapi maana siku ya tano leo sioni chochote
NdioWakuu Kama niliverify Cheri mwaka Jana na nataka nikitumie kuapply mwaka huu kinakua valid??
Asante sanaNdio
hivi walio maliza form 6 mwaka huu inakuaje kwenye maombi ya mkopo cheti cha form 6 kitahitajika? maana vinakua bado havija tokaWale wote wanaotaka kuomba mkopo (HESLB) Na wanaotaka kuomba vyuo mbali mbali.
- Nipo kuwasaidia wale wote wenye uhitaji wa ku apply mkopo na chuo. Au kuwaongoza hatua baada ya hatua jinsi ya ku apply.
- Vyote hivyo kuanzia mwanzo mpaka kukamilika nakufanyia kwa bei poa ya elfu tano tu (5,000/= tu)
- Huku nikikupatia na username pamoja na password zako kujihakikishia nilichofany na kuangalia account yko pale itakapohitajika.
- Huduma hii ni kwa wote/popote ulipo ndani ya Tanzania hii. Kila kitu kitaenda sawa. Maan nimepata maswali mengi kwa walio mikoani.
- Nitafute whatsapp au sms za kawaida kupitia namba hizi 0734131743.
- Vitu vyote vinavyohitajika wakati wa uombaji mkopo na chuo nitakueleza ukinitafuta kupitia namba izo apo.
NYOTE MNAKARIBISHWA
change online ndugu acha uzembeNawezaje kuchange picha kuwa pdf?
Tyar mkuuchange online ndugu acha uzembe
google tu chap change
picture to pdf zipo website nyingi sana
utaziona changua moja attch file linaconvertiwa
unadownload in pdf format
Mkuu, hv ile copi ya cheti cjs 4M4 au diploma kiupload au uweka namba ya mtihani tu..?ndio nimeanza kuomba mkopo nimejaza email na namba za simu lakini nikibonyeza get control number hamna jibu tatizo ni nini?
Mbona wanarejesha mkuu..?Hivi kuna mtu amaeshapata majibu ya uhakiki mm siku ya 12 leo naona kimya sioni popote pakupata hicho cheti