Je, RITA wameshaanza kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

Je, RITA wameshaanza kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

Hivi ni lazima uhakiki ndo uombe mkopo?? au kama umesajili cheti kipya muda huu inakua haina haja ya kuhakiki tena?? anaefahamu anijuze
 
Wakuu,kwa wenye uzoefu mana nimehakiki cheti changu tokea j4 iliyopita lakini hadi Leo hakuna majibu yoyote,tatzo ni mini hadi inachukua muda mrefu hivi?
mkuu hili tatizo la kulog in RITA unalisolve vipi, mi inanigomea kulogin.
 
Mliofanikiwa kupata mrejesho imechukua siku ngapi?, mdogo wangu ametuma maombi RITA wiki ya pili sasa bado hakuna feedback yoyote
 
Hivi Kuna ulazima wa kuhakiki cheti ? Maana majina yangu yote yapo sawa
 
Vipi kuhusu mtoto aliyefiwa baba yake.. Unatakiwa kutuma vyeti vyote viwili yaani cha huyo mtoto cha kuzaliwa pamoja na cheti cha kifo cha baba yake au unatuma tuu cha kuzaliwa.
 
Karibuni [emoji310] wadau, boom na loans kwa sanaah tyuuuh, vimbweta na madesa.
 
Back
Top Bottom