Je, Roma Mkatoliki anaandaliwa kuwa shahidi wa ICC?

Je, Roma Mkatoliki anaandaliwa kuwa shahidi wa ICC?


Link hiyo hapo jamaa kahojiwa na Millardayo (exclusive interview) kasema hata hawezi chukua miezi 6. Afu inakuaje mtu apewe hifadhi bila familia yake? Upuuzi mmoja huu.

Mshana sio kitu na asijiite GT. Ni cramming GURU AKA copycat, abaki kwenye issue zake za uchawi na kufuga misukule yake humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom