Je, Roma Mkatoliki anaandaliwa kuwa shahidi wa ICC?

Je, Roma Mkatoliki anaandaliwa kuwa shahidi wa ICC?

.
tapatalk_1581397049880.jpeg

Jr[emoji769]
 
Mtoa mada ulipaswa utuwekee ushahidi wa wowote hapa wa Roma kupewa hadhi ya ukimbizi nchini Marekani otherwise wakosoaji wako wataendelea kukuandama kwa sifa yako ya ujuaji. Ila pia wanaokuandama kuhusu mambo ya ICC bila wao kutuelimisha na wameishia kujisifia elimu zao as if kuna anae jua elimu ya mtu hapa ni ujuaji tu wa kishamba ambao haumsaidii yeyote
 
Kwenye mada nilisema wazi kuwa kuna habari ilisema wazi kuhusu ukimbizi wa Roma bahati mbaya sana nimeikosa link yake...!
Ishu ya kuitwa mjuaji sijutii wala sina kinyongo kwakuwa mimi si wa kwanza na sitakuwa wa mwisho kwakuwa watu wote wenye UTHUBUTU kwenye lolote huitwa wajuaji lakini unapowauliza hao wakosoaji ujuaji wangu ninini hawana majibu...
Ishu ya Roma kuwa na hadhi ya ukimbizi hakuna walau aliyekuja na jibu tofauti kuwa Roma yuko USA kwa status gani... Nimethubutu kusema Roma ana status hiyo hakuna aliyenipinga kwa hoja jadidi... Hakuna mwenye jibu bali natakiwa nithibitishe.. [emoji144][emoji144][emoji144]

Naiandikia jamii... Naandika sana lakini siandiki kila kitu kuna majukwaa huwezi kunikuta hata siku moja.. Sijui kila kitu.. Lakini kitu ninachoona naweza kuandika mawazo yangu ama naweza kuchokoza mada sisiti kufanya hivyo na siogopi kukosolewa bali naogopopa na kudharau njia inayotumika kunikosoa.
Nimekujibu kwa reply ndefu my apology kama itakukera
Mtoa mada ulipaswa utuwekee ushahidi wa wowote hapa wa Roma kupewa hadhi ya ukimbizi nchini Marekani otherwise wakosoaji wako wataendelea kukuandama kwa sifa yako ya ujuaji. Ila pia wanaokuandama kuhusu mambo ya ICC bila wao kutuelimisha na wameishia kujisifia elimu zao as if kuna anae jua elimu ya mtu hapa ni ujuaji tu wa kishamba ambao haumsaidii yeyote

Jr[emoji769]
 
Ujuaji wako ni kubeba kitu kama kilivyo na kukileta bila kufanyia mnyumbuliko. Ungefanya utafiti ujue ROMA yupo USA kwa document zipi, sio unasema ulisoma humu na hakuna aliyepinga wala kukataa haimanishi ndio kibali cha wewe kuja kufungua uzi.
Haya sasa link umekosa unaona sasa?? Ulivo mjuaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukute hata hiyo ICC haijui!
Dah...

Nnachowaza jinsi mzee wa Tunguli a avyotazama post zako na anakausha

Kuna mahali nimetembea nikakuta wananchi wa Tz unakutana nao zaidi ya 500 kila siku hawawezi hata kuandika jina lake

Ila wachache mnaojua kusoma mnatunanga sana

Napata ukakasi jinsi ukiwa kiongozi utatuoje kwenye ungumbalu

Post 1 umesema Mshana aombe kufahamishwa
Sijafahamu kwann

Ana heshima yake na we una yako

Mijadala ni ya kuelimishana
Uelewa wako ni mzuri ukitumika kwa busara

Kuna id nyingine inakupa msaada
Ila maisha yanasonga
FB_IMG_1581430530647.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr,
Mnavyoishobokea ICC, wakati inaonyesha wazi hamjui chochote kuhusu Mahakama hii and how it oparate. Kwa ulichoandika ni wazi we ni Mbumbumbu wa ICC! Hujui chochote!
Hata wewe grammatical errors zako tu zaonesha you know nothing about ICC.
Quote me wrong ahuh
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109] mistari4G,

Jr[emoji769]
 
Ujuaji wako ni kubeba kitu kama kilivyo na kukileta bila kufanyia mnyumbuliko. Ungefanya utafiti ujue ROMA yupo USA kwa document zipi, sio unasema ulisoma humu na hakuna aliyepinga wala kukataa haimanishi ndio kibali cha wewe kuja kufungua uzi.
Haya sasa link umekosa unaona sasa?? Ulivo mjuaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ndo ujuwaji unapimwa..!!!
 
Back
Top Bottom