Kwa haya maovu anayoyafanya Magufuli na Makonda hayayezi kupita hivi hivi hata kidogo. Kuna miisho mibaya kwa watu hawa ambayo mifano ipo.
1. Wanaweza wakakimbia nchi kama.akina Yahya Jammeh wa Gambia au Blaise Compaore wa BurkinaFaso. Hawa wawili waliua, waliiba na walijisahau kwenye madaraka kama anavyofanya Magufuli.
2. Tunaweza kuwapeleka ICC kwenye Mahakama ya uovu dhidi ya binadamu kama alivyopelkwa Laurent Bagbo wa Ivory Coast. Vitendo anavyofanya Magufuli na Makonda vya mauaji ya Ben Saanane, Azory Gwanda, mauaji ya MKIRU na mashambulizi kwa Tundu Lissu vinatosha kumfikisha ICC kwa kuwa ushahidi uko wazi kabisa. Clips zipo na waliopiga risasi akina Herry Kisanduku na Bwire wapo.
3. Aweza kutolewa kwa nguvu ya umma kama Omar Bashir wa Sudan na akapelekwa Segerea kama yeye anavyowapeleka kina Eric Kabendera. Wapambe wa Magufuri wanajidanganya sana, eti wanamuona Magufuri kama Rais mwenye nguvu wakati nguvu zenyewe ni za TISS, Police na TPDF na NEC. Ukifika wakati vyombo vyote vinakuchoka na wanakuacha ujitetee mwenyewe kama alivyoachwa Omar Bashir.
Ni suala la muda hao niliowataja hapo walikuwa na maguvu ya kutisha kuliko Magufuli lakini wakati ulipofika walidhalilishwa.
Tundu Lissu hata kama hawezi kuwa Mbunge wa Singida tena au Rais wa Tanzania lakini Mungu amemuepusha na kifo dhidi ya zile risasi 28 ili aje amshuhudie Magufuli na Makonda wakiwa WAMEDHALILISHWA