We dogo leo umeaibika!
Huyo magufuli mwenyewe hakujui unamtetea huku huna hata mia mfukoni! Duuhh!
ICC ina mamlaka ya kushughulikia uhalifu dhidi ya binadamu ; uhalifu ambao mara nyingi unafanywa na wanasiasa kwa kutumia state apparatus.
Pamoja na makosa mengine mengi yanayoangukia katika uhalifu dhidi ya binadamu, mauaji ya kisiasa nayo yanaingia humo!
The ICC will immediately invoke its jurisdiction when the state is reckless to take actions against such heinous atrocities.
Na hapo ndipo akina magufuli na genge lake huwa wanakuwa surprised kama yule gaidi la Congo na kundi lake la kivita.
Sent using
Jamii Forums mobile app