Je, Roma Mkatoliki anaandaliwa kuwa shahidi wa ICC?

Hii ni Marekani sio Uzbekistan
Hujajibu swali, mbona wao kushitakiwa huko hawataki mpaka wanampiga ban mkuu wa ICC kuingia marekani? Kwa hiyo wao ni miungu wengine shetani sio, wao madhambi wanayofanyia nchi zingine wanaona ni sawasawa,. Waanze kwanza wao washitakiwe kama hawana makosa si watashinda.

Jr[emoji769]
 
Mkuu alipaswa aeleze aliyeleta hizi habari, na huu ndo ubaya wa kurukia vitu usivyoelewa!
Mleta habari ameeleza anachokielewa, kama kuna pahala pamepungua si ujazilizie na mwingine ataongeza pale ulipoacha. JF ni kupashana habari na kuelemishana. Na hakuna ajuae kila kitu. Ndio maana ya forum huru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It seems wewe ndiyo mbumbumbu mkuu. soma Rome statute especially Article 7 ambayo imetaja makosa 11 ambayo yakitokea Mahakama ya ICC ina mamlaka ya kusilikiliza kesi kutokana na makosa hayo.
Kosa mojawapo ni "Enforced disappearance of persons" means the arrest, detention or abduction of persons by, or with the authorization, support or acquiescence of, a State or a political organization, followed by a refusal to acknowledge that deprivation of freedom or to give information on the fate or whereabouts of those persons, with the intention of removing them from the protection of the law for a prolonged period of time.
Ha ha ha ha ha, unafurahisha, ulivyoikopi hiyo Article na ulichokiandika unaonyesha wazi umesimuliwa haya mambo. Nenda kasome Kasome United Nations Charter on State Sovereinity, ukitoka hapo kasome Tanzania Penal code uone kama hayo makosa yapo au hayapo. Ha ha ha ha unafurahisha, kwani Kuna sehemu nimekataa kuhusu hiyo statute, okey tuambie ICC inavo oparate sasa, tuseme ni kweli Roma aliteswa, so Makomda anaingiaje hapo!? Under which principle. Ok,.kwahiyo kila akitekwa mtu, akiuliwa mtu, akiteswa mtu lazima ICC iingilie Kati. Ha ha ha ha ha ha, najua huwezi kuelewa chochote hapa kwakuwa you are too junior to catch up. Namna ulivokopi hako ka Artticle inaonyesha wazi level yako ni ipi!
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mleta habari ameeleza anachokielewa, kama kuna pahala pamepungua si ujazilizie na mwingine ataongeza pale ulipoacha. JF ni kupashana habari na kuelemishana. Na hakuna ajuae kila kitu. Ndio maana ya forum huru.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Ha ha ha ha ha, unafurahisha, ulivyoikopi hiyo Article na ulichokiandika unaonyesha wazi umesimuliwa haya mambo. Nenda kasome Kasome United Nations Charter on State Sovereinity, ukitoka hapo kasome Tanzania Penal code uone kama hayo makosa yapo au hayapo. Ha ha ha ha unafurahisha, kwani Kuna sehemu nimekataa kuhusu hiyo statute, okey tuambie ICC inavo oparate sasa, tuseme ni kweli Roma aliteswa, so Makomda anaingiaje hapo!? Under which principle. Ok,.kwahiyo kila akitekwa mtu, akiuliwa mtu, akiteswa mtu lazima ICC iingilie Kati. Ha ha ha ha ha ha, najua huwezi kuelewa chochote hapa kwakuwa you are too junior to catch up. Namna ulivokopi hako ka Artticle inaonyesha wazi level yako ni ipi!

Mkuu pole sana?
Kwanza, kasome vizuri principle of complementarity utaelewa kaka yako nazungumzia nini.

Pili, Kilsheria, Kila sheria ina mbadala wake mkuu na kwa mujibu wa sheria za kimataifa, ukienda kinyume au ukakiuka na kanuni za kimataifa huwa hawazingatii sana state soverignity.

Tatu,
iko hivi pale ambapo kuna makosa kama crimes against humanity yatendeka katika nchi fulani na hilo taifa halichukui hatua yoyote (when the state party is unable/unwilling to prosecute the matter) dhidi ya watu wanaotenda hayo makosa International Criminal Court hufanya kazi yake baada ya kupata ushahidi wa kutosha toka kwa ofisi ya muendesha mshitaka au United Nations Security Council.

Nne, kuwepo kwa hayo makosa katika Tanzania Penal Code hayawezi zuia ICC kufanya kazi yake pale ambapo kuna ushahidi wa kujitosheleza kwamba hayo makosa yanafanyika.

Aidha, kumbuka kwamba ICC haina jeshi la kumkamata mtu bali hutegemea sana ushirikiao wa nchi husika na nchi husika ikishindwa kutekeleza huwa wanapeleka hilo jambokwa ASSSEMBLY OF STATES PARIES, baada ya hapo ni United Nations Security Council.
 
[emoji120][emoji120][emoji120]post fupi lakini imejaa maarifa mengi.... Nimejifunza kitu cha ziada hapa... BARIKIWA

Ha ha ha ha ha ha, naona umetoka kwenye notisi ha ha ha ha ha. Anyways good try, so what can you say about the judiciary of Tanzania, nani ameenda kulalamika kwenye vyombo vya ndani na havikumusaidia, after incidence ya Roma alikaa Tanzania for how long. Mwaka 2008-2009 kulikuwa na mauaji mengi Sana ya Albino(In international crimininal law wewe ile ungicategorise wapi?) Kwanini ICC haikuingilia Kati! Jamalo Kashogi was murdered in the Saudia Embassy in Turkey, ulisikia chochote toka ICC why. Sawa tukubaliane na ndoto za mleta mada hayo makosa yametokea, Nani ashtakiwe na kwa lipi!
 
As
[emoji120][emoji120][emoji120]post fupi lakini imejaa maarifa mengi.... Nimejifunza kitu cha ziada hapa... BARIKIWA

Jr[emoji769]
Asante kwa kukiri Ungumbalo wa hizi mambo na ukome kuleta jamvini mambo usiyoyajua!
 
ICC na Marekani wapi na wapi mkuu.
Hujui kuwa hao jamaa wa ICC nao wamepigwa ban sababu ya tuhuma za Wababe kule Afghanistan!!
Kwa haya maovu anayoyafanya Magufuli na Makonda hayayezi kupita hivi hivi hata kidogo. Kuna miisho mibaya kwa watu hawa ambayo mifano ipo.

1. Wanaweza wakakimbia nchi kama.akina Yahya Jammeh wa Gambia au Blaise Compaore wa BurkinaFaso. Hawa wawili waliua, waliiba na walijisahau kwenye madaraka kama anavyofanya Magufuli.

2. Tunaweza kuwapeleka ICC kwenye Mahakama ya uovu dhidi ya binadamu kama alivyopelkwa Laurent Bagbo wa Ivory Coast. Vitendo anavyofanya Magufuli na Makonda vya mauaji ya Ben Saanane, Azory Gwanda, mauaji ya MKIRU na mashambulizi kwa Tundu Lissu vinatosha kumfikisha ICC kwa kuwa ushahidi uko wazi kabisa. Clips zipo na waliopiga risasi akina Herry Kisanduku na Bwire wapo.

3. Aweza kutolewa kwa nguvu ya umma kama Omar Bashir wa Sudan na akapelekwa Segerea kama yeye anavyowapeleka kina Eric Kabendera. Wapambe wa Magufuri wanajidanganya sana, eti wanamuona Magufuri kama Rais mwenye nguvu wakati nguvu zenyewe ni za TISS, Police na TPDF na NEC. Ukifika wakati vyombo vyote vinakuchoka na wanakuacha ujitetee mwenyewe kama alivyoachwa Omar Bashir.

Ni suala la muda hao niliowataja hapo walikuwa na maguvu ya kutisha kuliko Magufuli lakini wakati ulipofika walidhalilishwa.

Tundu Lissu hata kama hawezi kuwa Mbunge wa Singida tena au Rais wa Tanzania lakini Mungu amemuepusha na kifo dhidi ya zile risasi 28 ili aje amshuhudie Magufuli na Makonda wakiwa WAMEDHALILISHWA
 
Hao marekani wenyewe ni signatory kwenye hiyo ICC, au wao kazi yao ni kuwashtaki wengine
 
Nimehitimisha kuwa wewe ni mjinga na una personal hatred na Mshana Jr. Umeambiwa Mara chungu nzima toa wewe ufafanuzi maana hoja ya Mshana iko kwenye msingi endelevu tujadili uwezekano huo, badala yake unakomaa na upuuzi wako kuwa yeye ni mjuaji.
Usianzishe ligi usizoziweza wewe kijana, acha tupeane maujuzi na kama mleta mada kuna mahali hakuelewa ataelewa, ebo!

Jf ni zaidi ya uijuavyo!
 
Kwa haya maovu anayoyafanya Magufuli na Makonda hayayezi kupita hivi hivi hata kidogo. Kuna miisho mibaya kwa watu hawa ambayo mifano ipo.

1. Wanaweza wakakimbia nchi kama.akina Yahya Jammeh wa Gambia au Blaise Compaore wa BurkinaFaso. Hawa wawili waliua, waliiba na walijisahau kwenye madaraka kama anavyofanya Magufuli.

2. Tunaweza kuwapeleka ICC kwenye Mahakama ya uovu dhidi ya binadamu kama alivyopelkwa Laurent Bagbo wa Ivory Coast. Vitendo anavyofanya Magufuli na Makonda vya mauaji ya Ben Saanane, Azory Gwanda, mauaji ya MKIRU na mashambulizi kwa Tundu Lissu vinatosha kumfikisha ICC kwa kuwa ushahidi uko wazi kabisa. Clips zipo na waliopiga risasi akina Herry Kisanduku na Bwire wapo.

3. Aweza kutolewa kwa nguvu ya umma kama Omar Bashir wa Sudan na akapelekwa Segerea kama yeye anavyowapeleka kina Eric Kabendera. Wapambe wa Magufuri wanajidanganya sana, eti wanamuona Magufuri kama Rais mwenye nguvu wakati nguvu zenyewe ni za TISS, Police na TPDF na NEC. Ukifika wakati vyombo vyote vinakuchoka na wanakuacha ujitetee mwenyewe kama alivyoachwa Omar Bashir.

Ni suala la muda hao niliowataja hapo walikuwa na maguvu ya kutisha kuliko Magufuli lakini wakati ulipofika walidhalilishwa.

Tundu Lissu hata kama hawezi kuwa Mbunge wa Singida tena au Rais wa Tanzania lakini Mungu amemuepusha na kifo dhidi ya zile risasi 28 ili aje amshuhudie Magufuli na Makonda wakiwa WAMEDHALILISHWA
Ha ha ha ha ha, you are too little to understand these thimgs. By the way unafahamu Kama Raulent Bagbo ni miongoni mwa watu wanaotarajiwa kugombea Urais Ivory Coast. Umekaririshwa huko unakuja kubwabwaja vitu ambavyo hata substance zake huzielelewi. For how long nyie ngozi mtakuwa manipulated na kupelekwa pelekwa kama kuku. Hakuna hata kimoja mnachoweza kuwaza nyie mnaenda na upepo!
 
Kwa sababu ameandika upupu humu ndani na amei offend hii noble profession, nimeshasema kama yupo tayari aseme asaidiwe. Lakini akome kudandia mambo makubwa na magumu ambayo hana uwezo nayo. abaki huko huko kwenye vizizi na matunguli!

Mkuu mbona km una chuki za wazi wazi na mshana? Shida ni nn!?..tueleze ww unayejua zaidi..yaan unamaanisha mshana akuombe ww umwandikie uzi?be gentlemen basi! Hivi kwanini jf kunachuki za bila sababu?yaani imekuw kawaida sana mtu kumshambulia mtu asiyemjua! Why!
 
Back
Top Bottom