Je, Roma Mkatoliki anaandaliwa kuwa shahidi wa ICC?

Je, Roma Mkatoliki anaandaliwa kuwa shahidi wa ICC?

Nimeshangazwa na hadhi ya ukimbizi aliyopewa Roma Mkatoliki nchini Marekani. Hii pengine inatokana na kule kukamatwa kwake na wale WASIOJULIKANA kisha katika hali ya kushangaza sana na kwa muda uliopangwa Roma akapatikana akiwa hoi majeruhi na majeraha ya kuteswa.

Baada ya kupata nafuu majeraha yale ya mwili aliongea kilichompata. Lakini kukiwa na kila dalili kwamba alificha ama aliogopa kuongea mengi. Kutoka hapo Roma hakuwa sawa tena kama zamani. Kuna mzimu ulikuwa unamuandama.

Nusu ya pili ya mwaka jana 2019 Marekani na washirika wake wakaanza kutoa maangalizo na matamko kuhusiana na hali ya kuzorota kwa haki za binadamu, usalama na uhuru wa kutoa maoni. Ni katika kipindi hicho Roma alitimkia Marekani na hatimaye vikafuatia vikwazo kwa baadhi ya viongozi kusafiri na kuingia marekani sambamba na kunyimwa misaada na mikopo nk

Kwenye taarifa ya Marekani hawakumung'unya maneno walimtaja kiongozi mmoja kama wa kwanza kuwekewa kikwazo cha kusafiri Marekani.

Ni kiongozi huyo huyo aliyeahidi kupatikana kwa Roma ndani ya muda fulani naye pia akapatikana kweli. Kiongozi huyo ana lundo la tuhuma za kuteka. Waliotekwa na kupotea ni wengi. Ni Roma na wachache wamebahatika kutekwa na kurudi hai.

Kwenye taarifa ya Marekani wameweka wazi kuwa vikwazo ni hatua za mwanzo tuu.. Kwa maana hiyo hatua zaidi zinafuata. Je ni hatua gani hizo? Je ni mashtaka ICC?

Kama ni mashtaka ICC, Maana yake kutahitajika ushahidi usio acha shaka na mashahidi pia. Roma ni mhanga wa kutekwa na Marekani kaenda kama mkimbizi.

Huyu anaweza kuwa shahidi muhimu sana, hivyo kuepuka kudhurika ama kutishwa asitoe ushahidi pengine ndio maana kakimbiziwa mbali aje kumkaanga mtu. Wengine ni Msaidizi wa Membe na Msaidizi wa Zitto wako wapi hawa?

Jr[emoji3481]
Ujuaji wote huo, usijur marekani si mshirika wa ICC..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM wajipange, wabeberu safari hii wataondoka na vichwa vingi sana utawala huu.

Kidogo kidogo wameanza kula "MATAPISHI" yao, wamepeleka muswada bungeni (kama kawaida yao kwa HATI YA DHARURA) kuomba sheria ya Arbitration ibadilishwe ili migogoro ya madini iwe inasuluhishwa kwenye Mahakama Ya Biashara Ya Kimataifa.

Kwa mtazamo wangu, watu wasiojulikana watakuja kufanya "MAAMUZI" magumu sana kwa yule "MKUU WA MIKOA YOTE TANZANIA", ili kuficha aibu yao.

To be continued. . . . . . .
Wasiojulikana hawatakubali wafe peke yao ni ama wfe wao au Bashite afe yeye
 
Unajua wengi hawakusoma na kuelewa nilichoandika... Ama pengine kwakuwa nilihusisha vikwazo vya Marekani kwa RC wa Dar na mashtaka ya ICC
Marekani si wanachama wa ICC. Lakini yoyote wanaye mwekea vikwazo vya kusafiri huwa anashitakiwa na ICC.

Kumbuka
1. Hassan al Bashir
2. Slobodan Miloschovic
3. Maduro
Nk

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Mkuu kajekudya,
Ndiyo maana nimekwambia kwamba kuhusu ishu za kimataifa na kitaifa bado wewe ni mchanga sana kutokana na sababu hii.

Kwanza, nasikitika kwamba haujui kuwa jukumu la kwa la la nchi yoyote ni kulinda raia wake. Huu ni kwa mujibu wa jicho la sheria za kimataifa na kitaifa(domestic laws).

kuhusu mauaji ya Albino
, serikali ilichukua hatua na ndiyo maana yale mauaji yamepungua kama siyo kuisha kabisa mkuu.
Hivyo, United national security Council hawakuingilia kwa sababu Tanzania ilikuwa willingly to take actions against those who omitted the aforesaid crimes.

Siyo kila kosa litapelekwa kule ICC bali ni pale tu makosa yaliyotajwa kwenye ARICLE 6, 7 ya Roma statute yakitokea katika nchi fulani na serikali ya nchi hiyo ikawa unwilling to take legal action mkuu.

ukija katika suala la kutekwa na kuuliwa nchini TZ limekuwa ni muendelezo na halikomi na kibaya zaidi serikali haichukui hatua yoyote mkuu. Hiyo ndiyo hoja kubwa sana kwamba kulingana na serikali yetu imekuwa unwilling/unable kuchukua hatua huenda watu wanaojihusisha na hivyo vitendo huenda wakapelekwa ICC baada ya uchunguzi kukamilika.

Ha ha ha ha ha ha, naona umetoka kwenye notisi ha ha ha ha ha. Anyways good try, so what can you say about the judiciary of Tanzania, nani ameenda kulalamika kwenye vyombo vya ndani na havikumusaidia, after incidence ya Roma alikaa Tanzania for how long. Mwaka 2008-2009 kulikuwa na mauaji mengi Sana ya Albino(In international crimininal law wewe ile ungicategorise wapi?) Kwanini ICC haikuingilia Kati! Jamalo Kashogi was murdered in the Saudia Embassy in Turkey, ulisikia chochote toka ICC why. Sawa tukubaliane na ndoto za mleta mada hayo makosa yametokea, Nani ashtakiwe na kwa lipi!
 
Mkuu kajekudya,
Ndiyo maana nimekwambia kwamba kuhusu ishu za kimataifa na kitaifa bado wewe ni mchanga sana kutokana na sababu hii.

Kwanza, nasikitika kwamba haujui kuwa jukumu la kwa la la nchi yoyote ni kulinda raia wake. Huu ni kwa mujibu wa jicho la sheria za kimataifa na kitaifa(domestic laws).

kuhusu mauaji ya Albino
, serikali ilichukua hatua na ndiyo maana yale mauaji yamepungua kama siyo kuisha kabisa mkuu.
Hivyo, United national security Council hawakuingilia kwa sababu Tanzania ilikuwa willingly to take actions against those who omitted the aforesaid crimes.

Siyo kila kosa litapelekwa kule ICC bali ni pale tu makosa yaliyotajwa kwenye ARICLE 6, 7 ya Roma statute yakitokea katika nchi fulani na serikali ya nchi hiyo ikawa unwilling to take legal action mkuu.

ukija katika suala la kutekwa na kuuliwa nchini TZ limekuwa ni muendelezo na halikomi na kibaya zaidi serikali haichukui hatua yoyote mkuu. Hiyo ndiyo hoja kubwa sana kwamba kulingana na serikali yetu imekuwa unwilling/unable kuchukua hatua huenda watu wanaojihusisha na hivyo vitendo huenda wakapelekwa ICC baada ya uchunguzi kukamilika.
Msaidie huyo mbumbumbu na mwaka wake wa kwanza baada ya law school sijui huko alikuwa kupalilia ujinga na ubsuhi lawyer wake.
 
Mshana Jr,
Mnavyoishobokea ICC, wakati inaonyesha wazi hamjui chochote kuhusu Mahakama hii and how it oparate. Kwa ulichoandika ni wazi we ni Mbumbumbu wa ICC! Hujui chochote!

ICC inahusisha makosa war crime na makosa dhidi ya ubinadamu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Marekani si wanachama wa ICC. Lakini yoyote wanaye mwekea vikwazo vya kusafiri huwa anashitakiwa na ICC.

Kumbuka
1. Hassan al Bashir
2. Slobodan Miloschovic
3. Maduro
Nk

Post ya @nditoro.. Nadhani unaweza kujiona sasa ulivyo kurupuka
Ujuaji wote huo, usijur marekani si mshirika wa ICC..

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Mkuu kajekudya,
Ndiyo maana nimekwambia kwamba kuhusu ishu za kimataifa na kitaifa bado wewe ni mchanga sana kutokana na sababu hii.

Kwanza, nasikitika kwamba haujui kuwa jukumu la kwa la la nchi yoyote ni kulinda raia wake. Huu ni kwa mujibu wa jicho la sheria za kimataifa na kitaifa(domestic laws).

kuhusu mauaji ya Albino
, serikali ilichukua hatua na ndiyo maana yale mauaji yamepungua kama siyo kuisha kabisa mkuu.
Hivyo, United national security Council hawakuingilia kwa sababu Tanzania ilikuwa willingly to take actions against those who omitted the aforesaid crimes.

Siyo kila kosa litapelekwa kule ICC bali ni pale tu makosa yaliyotajwa kwenye ARICLE 6, 7 ya Roma statute yakitokea katika nchi fulani na serikali ya nchi hiyo ikawa unwilling to take legal action mkuu.

ukija katika suala la kutekwa na kuuliwa nchini TZ limekuwa ni muendelezo na halikomi na kibaya zaidi serikali haichukui hatua yoyote mkuu. Hiyo ndiyo hoja kubwa sana kwamba kulingana na serikali yetu imekuwa unwilling/unable kuchukua hatua huenda watu wanaojihusisha na hivyo vitendo huenda wakapelekwa ICC baada ya uchunguzi kukamilika.
Asante mkuu kwa kumtoa tongotongo huyo kijana.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr,
Mnavyoishobokea ICC, wakati inaonyesha wazi hamjui chochote kuhusu Mahakama hii and how it oparate. Kwa ulichoandika ni wazi we ni Mbumbumbu wa ICC! Hujui chochote!
Kama unajua zaidi ya mshana si umueleweshe na sisi wenye ubongo mdogo tufaidike. Kejeli na matusi ya nini!! Mshana kaandika vizuri penye mapungufu rekebisha tufaidike wote...unapomwambia mwenzako mbumbu bila kutuonyesha werevu wako inamaana gani
 
Aliyeleta huo uharo ndo aseme kilichomfanya atoe hayo maelezo ili sisi great thinkers tumuone kweli anajua kuhusu hicho alichoandika. Kama hajui akiri hapa kwamba amedandia treni kwa mbele tuokoe jahazi hapa, tumuondolee hii aibu!
Sisi tumemuelewa.....Tunashangaa wewe Kisebengo kujifanya wajua kumbe hujui
 
Marekani si wanachama wa ICC. Lakini yoyote wanaye mwekea vikwazo vya kusafiri huwa anashitakiwa na ICC.

Kumbuka
1. Hassan al Bashir
2. Slobodan Miloschovic
3. Maduro
Nk

Post ya @nditoro.. Nadhani unaweza kujiona sasa ulivyo kurupuka

Jr[emoji769]
mshana watu wamekuelewa Sana na Uzi Ni wamoto so watu wanataka watutoe kwenye mstari tuache kujadili Uzi husika tuanze mipasho na kuchambana Kama mademu wa USWAHILINI tuonekane wote hatuna maana.
 
Aliyeleta huo uharo ndo aseme kilichomfanya atoe hayo maelezo ili sisi great thinkers tumuone kweli anajua kuhusu hicho alichoandika. Kama hajui akiri hapa kwamba amedandia treni kwa mbele tuokoe jahazi hapa, tumuondolee hii aibu!
We dogo leo umeaibika!

Huyo magufuli mwenyewe hakujui unamtetea huku huna hata mia mfukoni! Duuhh!

ICC ina mamlaka ya kushughulikia uhalifu dhidi ya binadamu ; uhalifu ambao mara nyingi unafanywa na wanasiasa kwa kutumia state apparatus (nyenzo za kijeshi na kipolisi).

Pamoja na makosa mengine mengi yanayoangukia katika uhalifu dhidi ya binadamu, mauaji ya kisiasa nayo yanaingia humo!

The ICC will immediately invoke its jurisdiction when the state is reckless to take actions against such heinous atrocities.

Na hapo ndipo akina magufuli na genge lake huwa wanakuwa surprised kama yule gaidi la Congo na kundi lake la kivita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayejaribu kututoa kwenye mstari ni punguani mmoja tu.. Mpaka sasa hajaandika chochote cha maana zaidi ya mipasho
mshana watu wamekuelewa Sana na Uzi Ni wamoto so watu wanataka watutoe kwenye mstari tuache kujadili Uzi husika tuanze mipasho na kuchambana Kama mademu wa USWAHILINI tuonekane wote hatuna maana.

Jr[emoji769]
 
Kajekudya we ni muha wa hovyo sana unashabikia ccm?
Ha ha ha ha ha, hakuna sehemu nimesema mimi nashabikia CCM, japo pia sizuiwi maana ndo democrasia na uhuru mnaojinasibu nao nyie Wanaserengeti. Lakini katika thread hii nilikuwa najaribu kumpa tahadhali mzee wa tunguli aache kudandia dandia kila jambo hasa yale ambayo yapo juu ya upeo wake.
 
Back
Top Bottom