Je, Roma Mkatoliki anaandaliwa kuwa shahidi wa ICC?

Je, Roma Mkatoliki anaandaliwa kuwa shahidi wa ICC?

The court has more than 120 member nations. But countries that are not members include the United States, China, India, Iraq, Libya, Yemen, Qatar and Israel. The U.S. signed the treaty during the Clinton administration, but Congress did not ratify it.Nov 17, 2016

Jr[emoji769]
 
The court has more than 120 member nations. But countries that are not members include the United States, China, India, Iraq, Libya, Yemen, Qatar and Israel. The U.S. signed the treaty during the Clinton administration, but Congress did not ratify it.Nov 17, 2016

Jr[emoji769]
U.S. imposes visa bans on International Criminal Court investigators - Pompeo

 
Jamaa anachekesha sana,anamkosoa mtoa mada kuwa hajui ICC inavyo operate! Sasa unamuuliza atoe ufafanuzi wake,anataka tena mtoa mada (ambae kwa mujibu wake hajui) atoe ufafanuzi [emoji3][emoji3]
Utawaweza hawa Wanachuo,blah blah nyingi,tunataka atoe ufafanuzi wake anaanza kuleta ngonjera tena.
Nimejaribu kuchimba zaidi Mmarekani sio mwanachama lakini anafanya kazi kwa Karibu na ICC hasa linapokuja swala la ushahidi... Anachokataa Mmarekani ni raia wake kushitakiwa kwenye hii mahakama... Na mara nyingi Democratics ndio wanaisupport wakati republican wanaipinga... Hivyo basi kupitia nchi washirika Marekani anaweza kutoa msaada mkubwa

Jr[emoji769]
 
MkamaP,

Jr[emoji769]
 
 
ROMA kapewa hadhi ya Ukimbizi USA?
Naye yule Beneficial wa Chuga naye ana tatizo gani na mamlaka maana wote wako huko kwa Trump toka mwaka Jana.
Ni vizuri ukacheck facts zako ili ulete habari za ukweli vinginevyo ule "Ujuaji" unaosemwa unao kule jukwaa la " pongezi na malalamiko" utaonekana ni kweli
 
Secretary of State Michael Pompeo on March 15, 2019 announced that the bans will apply to ICC personnel involved in the court’s potential investigation of US citizens and may possibly be used to deter ICC investigations against citizens of US allies.

Jr[emoji769]
 
Mkuu alipaswa aeleze aliyeleta hizi habari, na huu ndo ubaya wa kurukia vitu usivyoelewa!
wewe ni boya tu, huna lolote, kama unaona mtoa mada kakosea au hajui, kwanini usieleze wewe? kwa hio elimu yako unabaki nayo mpaka utakapokufa? tena ukifa utaulizwa elimu yako iliwasaidiaje wanadamu, utakua huna jibu na kifuatacho ni motoni, huna ishu!
 
Ni baba yangu asiyeshindwa kamwe.
FB_IMG_1580721391281.jpg
 
Nimeshangazwa na hadhi ya ukimbizi aliyopewa Roma Mkatoliki nchini Marekani. Hii pengine inatokana na kule kukamatwa kwake na wale WASIOJULIKANA kisha katika hali ya kushangaza sana na kwa muda uliopangwa Roma akapatikana akiwa hoi majeruhi na majeraha ya kuteswa.



Jamani jamani umezidi ujuaji brother ahhahahahhahaah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom