Je, Rostam Aziz ataitikia wito wa kugombea Ubunge Morogoro Mjini?

Je, Rostam Aziz ataitikia wito wa kugombea Ubunge Morogoro Mjini?

RA ni moja ya watu ambao ni smart. Anaichukulia very serious Tanzania. Anajua atanendelea kuchumua as long as he keeps his profile low and with no squabbles with politicians or the existing political and leadership system.
namkubali sana huyu mwanawane
moja ya watu ambao wanajua kucheza na viongozi wa nchi.
always ana backup plan
 
Juma ni mjinga we endelea kumuabudu.

Waafrika tunafeli sana kwenye suala la kuangali muda na matokeo yake. Wanaomjua Abood hawapo. washaondoka. Wanaosoma makaratasi yake na kufuatilia nini anatakiwa kufanya ni watu wengine kabisa. Anayelala usimuamshe. Ukimamuamsha utalala wewe!!!!
 
JPM hawezi kumuathiri about kwasababu muda wake wa kukaa madarakani ni mchache halafu pili rostam Hana mizizi morogoro labda huko kwao igunga.
 
Ikumbukwe kuwa Rostam Aziz alijiuzulu ubunge wa jimbo la Igunga kwa madai kuwa amechoshwa na siasa uchwara.

Je, sasa ataukubali wito wa mwenyekiti wa chama chake CCM Rais Magufuli kwamba kama vipi 2025 agombee ubunge Morogoro mjini na kumfurusha mbunge wa sasa Abood Aziz?

Ikumbukwe kuwa hawa wote ni Aziz.

Maendeleo hayana vyama!
Ana vutwa vutwa ngoja aingie 18 kama patel ...
Naomba niishie hapo tafadhali
 
Ndio ataikitia kwamujibu wa mazungumzo yangu na yeye hivi punde kwa simu.
 
Rostam alisema hataki siasa uchwara, sasa hivi anakula timing tu. Kuna tukio atapiga halafu mtamsahau tena kwa muda !
 
Ikumbukwe kuwa Rostam Aziz alijiuzulu ubunge wa jimbo la Igunga kwa madai kuwa amechoshwa na siasa uchwara.

Je, sasa ataukubali wito wa mwenyekiti wa chama chake CCM Rais Magufuli kwamba kama vipi 2025 agombee ubunge Morogoro mjini na kumfurusha mbunge wa sasa Abood Aziz?

Ikumbukwe kuwa hawa wote ni Aziz.

Maendeleo hayana vyama!
Morogoro mjini tangu enzi za Jamal ni jimbo la maponjolo. Rostam agombee tu atapata. Waluguru bhana!!!
 
Si kweli huyo fisadi yeye, Kikwete na fisadi lowassa ndiyo walikuwa wahusika wakuu wa moja ya ufisadi mkubwa nchini kupitia Richmond/Dowans wa za zaidi ya $150 millions. Maccm walinangwa sana bungeni na mtaani baada ya Chadema kuuanika ufisadi ule.

Kikwete kuona kapoteza umaarufu wake alioingia nao madarakani ndiyo akazuka na usanii wa “KULIVUA GAMBA” kulivua gamba ilikuwa ni kuwafukuza toka maccm mafisadi lowassa na Rostam.
Hawa walikuwa wanaujua uchafu wote uliofanywa na Kikwete na kundi lao la wanamtandao ili kumchafua SAS na hivyo kumuingiza Ikulu Kikwete 2005. Wakamtisha Kikwete kwamba akiwafukuza ccm basi wataanika maovu yake yote ambayo yangeweza kutishia yeye kuendelea kuwepo Ikulu. Kikwete akaogopa kuwafukuza kwa maneno mengine alishindwa kulivua gamba (Lowassa, Rostam etc) Baada ya upepo kutulia urafiki na ukaribu wa Kikwete na Lowassa na Rostam ukawa umeingia dosari kubwa sana.

Nakumbuka Rostam hata vikao vya Bunge akawa hahudhurii tena na wakati ulipofika ambao yeye aliona muafaka ndiyo akajiuzulu Ubunge huku yeye na Lowassa kumshinda Kikwete katika adhma yake ya kuwafukuza ccm.
Ikumbukwe kuwa Rostam Aziz alijiuzulu ubunge wa jimbo la Igunga kwa madai kuwa amechoshwa na siasa uchwara.

Je, sasa ataukubali wito wa mwenyekiti wa chama chake CCM Rais Magufuli kwamba kama vipi 2025 agombee ubunge Morogoro mjini na kumfurusha mbunge wa sasa Abood Aziz?

Ikumbukwe kuwa hawa wote ni Aziz.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwani Abood hatoi connection?? nchi yote ni ya kijani, wapinzani walituchelewesha Sana, na uzuri tuko pazuri sanaaaa.
 
Ikumbukwe kuwa Rostam Aziz alijiuzulu ubunge wa jimbo la Igunga kwa madai kuwa amechoshwa na siasa uchwara.

Je, sasa ataukubali wito wa mwenyekiti wa chama chake CCM Rais Magufuli kwamba kama vipi 2025 agombee ubunge Morogoro mjini na kumfurusha mbunge wa sasa Abood Aziz?

Ikumbukwe kuwa hawa wote ni Aziz.

Maendeleo hayana vyama!
Alishasema hataki SIASA UCHWARA za CCM
 
Kihistoria hajawahi Kupendwa na huyo aliyemshauri agombee Ubunge lakini hata Yeye aliyemshauri augombee huo Ubunge nae pia hajawahi Kumpenda Rostam na anchokifanya ni Unafiki na kutaka Kumuingiza vizuri katika 18 zake ili ammalize mazima.

Rostam Aziz jikite tu katika Biashara zako na sikushauri Ugombee huo Ubunge kwani Jamaa hana Rafiki wa Kudumu bali ana Maadui wa Kudumu na Visasi vya Uchumi wa Kati.

Upokee huu Ushauri wangu 100%.
 
Ikumbukwe kuwa Rostam Aziz alijiuzulu ubunge wa jimbo la Igunga kwa madai kuwa amechoshwa na siasa uchwara.

Je, sasa ataukubali wito wa mwenyekiti wa chama chake CCM Rais Magufuli kwamba kama vipi 2025 agombee ubunge Morogoro mjini na kumfurusha mbunge wa sasa Abood Aziz?

Ikumbukwe kuwa hawa wote ni Aziz.

Maendeleo hayana vyama!

Jamaa kweli ni mlevi wa madaraka, anaona ubunge ni kama ukuu wa mkoa au wilaya ambapo kikatiba ndio anayewateua. Ampeleke akawe mbunge huko Kigoma kwa huyo aliyefariki kwa ajali ya Covid.
 
RA ni moja ya watu ambao ni smart. Anaichukulia very serious Tanzania. Anajua ataendelea kuchumua as long as he keeps his profile low and with no squabbles with politicians or the existing political and leadership system.
Namkubali sana huyu mwanawane
2015 alicheza karata vibaya .Ni kweli ana akili nyingi sana lakini 2015 karata zilimshinda kucheza akakimbia na Lowasa Chadema akawekeza nguvu nyingi kule na washirika wake wa ndani na njr akijua atashinda!!!!! Ikala kwake!!

Kama 2015 Rostam hakupata pressure haji kupata tena.Mimi hata huwa sielewi kwa akili na connetions na networks alizo nazo Rostam za ndani na nje aliwezaje kweli kufikia Conclussion kuwa Lowasa atashinda? .Anyway aligundua kosa after 2015 akajirudi mbio
 
Back
Top Bottom