Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
moja ya watu ambao wanajua kucheza na viongozi wa nchi.RA ni moja ya watu ambao ni smart. Anaichukulia very serious Tanzania. Anajua atanendelea kuchumua as long as he keeps his profile low and with no squabbles with politicians or the existing political and leadership system.
namkubali sana huyu mwanawane
Juma ni mjinga we endelea kumuabudu.
moja ya watu ambao wanajua kucheza na viongozi wa nchi.
always ana backup plan
Mzee wa PhD ya ujanja ujanjaJuma ninani?
Ana vutwa vutwa ngoja aingie 18 kama patel ...Ikumbukwe kuwa Rostam Aziz alijiuzulu ubunge wa jimbo la Igunga kwa madai kuwa amechoshwa na siasa uchwara.
Je, sasa ataukubali wito wa mwenyekiti wa chama chake CCM Rais Magufuli kwamba kama vipi 2025 agombee ubunge Morogoro mjini na kumfurusha mbunge wa sasa Abood Aziz?
Ikumbukwe kuwa hawa wote ni Aziz.
Maendeleo hayana vyama!
... anachukua mabasi yake kwenda kuwazika.. watu tofauti kivipi ??Abood wa Mabasi na Mbunge ni watu wawili tofauti. Kama hujui nakujuza leo.
Morogoro mjini tangu enzi za Jamal ni jimbo la maponjolo. Rostam agombee tu atapata. Waluguru bhana!!!Ikumbukwe kuwa Rostam Aziz alijiuzulu ubunge wa jimbo la Igunga kwa madai kuwa amechoshwa na siasa uchwara.
Je, sasa ataukubali wito wa mwenyekiti wa chama chake CCM Rais Magufuli kwamba kama vipi 2025 agombee ubunge Morogoro mjini na kumfurusha mbunge wa sasa Abood Aziz?
Ikumbukwe kuwa hawa wote ni Aziz.
Maendeleo hayana vyama!
Ikumbukwe kuwa Rostam Aziz alijiuzulu ubunge wa jimbo la Igunga kwa madai kuwa amechoshwa na siasa uchwara.

Alishasema hataki SIASA UCHWARA za CCMIkumbukwe kuwa Rostam Aziz alijiuzulu ubunge wa jimbo la Igunga kwa madai kuwa amechoshwa na siasa uchwara.
Je, sasa ataukubali wito wa mwenyekiti wa chama chake CCM Rais Magufuli kwamba kama vipi 2025 agombee ubunge Morogoro mjini na kumfurusha mbunge wa sasa Abood Aziz?
Ikumbukwe kuwa hawa wote ni Aziz.
Maendeleo hayana vyama!
Kumbe!Alishasema hataki SIASA UCHWARA za CCM
Ikumbukwe kuwa Rostam Aziz alijiuzulu ubunge wa jimbo la Igunga kwa madai kuwa amechoshwa na siasa uchwara.
Je, sasa ataukubali wito wa mwenyekiti wa chama chake CCM Rais Magufuli kwamba kama vipi 2025 agombee ubunge Morogoro mjini na kumfurusha mbunge wa sasa Abood Aziz?
Ikumbukwe kuwa hawa wote ni Aziz.
Maendeleo hayana vyama!
2015 alicheza karata vibaya .Ni kweli ana akili nyingi sana lakini 2015 karata zilimshinda kucheza akakimbia na Lowasa Chadema akawekeza nguvu nyingi kule na washirika wake wa ndani na njr akijua atashinda!!!!! Ikala kwake!!RA ni moja ya watu ambao ni smart. Anaichukulia very serious Tanzania. Anajua ataendelea kuchumua as long as he keeps his profile low and with no squabbles with politicians or the existing political and leadership system.
Namkubali sana huyu mwanawane