Je, Rostam Aziz ataitikia wito wa kugombea Ubunge Morogoro Mjini?

Yule jamaa abaki nyuma ya pazia tu
 
Kama ni mjinga akagombee huo ubunge ,kwani akiwa sio mbunge ana kosa nini mtu kama Rostam
 
daaaah kuna mambo yana sukitisha sana, hizi nchi zetu kuchezewa na wageni tatizo hua ni nini?
 
Namshauri abood ajiuzulu ubunge
 
Ilikuwa sababu ya historia yao na uwepo wa awamu ya nne. Waliamua kufanya mambo ya kumwaga ugali na mboga. Na ndio maana aliweza kujirudi haraka haraka na kuamua bora yaishe.
 
JPM ana nguvu ya kumwambia sababu yeye sio Marehemu Lawrance Gama ambaye wakati ni RC alikuwa anaelewa nini Abood anafanya. For once lets think two steps ahead!
Gama alipata kuwa RC Morogoro
 
CCM waendelea kuyahodhi majimbo kama mali yao - haya Rostam pande hili wewe tu na roho yako.
 
Kwa hiyo anamtaka agombee Moro kwani ndio jimbo lake? au yeye atampa kama walivyopewa wengine? Ina maana 2025 bado atagombea uraisi ili amsaidie huyu mhindi.
 
Kwa hiyo anamtaka agombee Moro kwani ndio jimbo lake? au yeye atampa kama walivyopewa wengine? Ina maana 2025 bado atagombea uraisi ili amsaidie huyu mhindi.
Morogoro haina mwenyewe bwashee!

Si umewaona akina Prof Jay na Devotha Minja wanatamba tu!
 
Alijiuzulu akasema siasa za Tanzania ni maji taka agmbee ya nini tena?
l
 
Hivi Abood kwenye kitabu cha Mkapa si aliandikwa visivyo ?
 
1:Alipo kuwa kigoma alimshauri Diamond agombee ubunge wa kigoma mjini.

2:Alimshauri Harmonize agombee ubunge Tandahimba.

Vipi hao wote leo ni wabunge?
Huwa unajiuliza maswali na kuyajibu kabla ya kupandisha threads zako kweli?
 
Dua za wana Yanga ni kwa Rostam aweze kugombea ubunge
 
1:Alipo kuwa kigoma alimshauri Diamond agombee ubunge wa kigoma mjini.

2:Alimshauri Harmonize agombee ubunge Tandahimba.

Vipi hao wote leo ni wabunge?
Huwa unajiuliza maswali na kuyajibu kabla ya kupandisha threads zako kweli?
Sasa unamfananisha King maker Rostam Aziz na wakata viuno wa kampeni?

Bure kabisa wewe.
 
Abood wa Mabasi na Mbunge ni watu wawili tofauti. Kama hujui nakujuza leo.
Hapo naona unamkosoa hata mwenyekiti aliyesema kuwa Abood alikuwa anatumia vile viwanda kuchukulia mkopo wa kununulia mabasi.

Na akawa anayatumia hayo mabasi kuwasaidia wana Morogoro kwenda kuzika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…