Je, Sabaya naye kurejeshwa?

Makonda ambae ujio wake umeharibu hali ya hewa uko CCM, unataka waongezee tena Sabaya? Vijana wasiokuwa na utu, haya wala adabu ndiyo unawataka? Siku za Makonda zinahesabika ktk huo uenezi. Kama alichokwa na jpm aliyekuwa muhumini wa siasa za mabavu na matukio, Samia atagundua muda si mrefu kuwa kaingia chaka kumuamini Makonda.
 
Hivi kwanini hawa vijana mnawaogopa sana?,hasa mwenyekiti wenu Mbowe anawaogopa kwerikweri!
 
You can do whatever you want but ili mradi usiwauzi CCM. Beat, kill, steal but kama hujawauzi basi you are safe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…