Je, Samatta atafanya makubwa EPL?

Je, Samatta atafanya makubwa EPL?

Mimi kwa bahati mnaya sikuuona huo mpira/mechi.
-------------
Je ndg yetu alicheza kwa kiwango gani?,je ataweza kumudu mikiki mikiki ya ligi hiyo?
-------------
Endapo alipaform low huenda ni woga wa mechi ya kwanza.
 
Aongeze kiwango. Pia atambue Aston Villa bado wapo sokoni wanataka kuongeza striker mwingine, kuna tetesi kuwa wanamtaka Sturridge, hivyo anatakiwa akaze "makalio" kwelikweli, kama wataongeza mshambuliaji mwengine kabla ya dirisha la usajili kufungwa atakuwa na upinzani mkubwa kwenye kupata nafasi katika kikosi cha kwanza.
 
Sammata ni kama ronaldo
Hawadribble
Hawaassist
Hawakabi
Hawa play make
Hawafungi freeckick
Wao ni kufunga tu ikipatikana bahati
Usimfananishe Ronaldo na mambo ya "ajabu".
Turudi kwa mtoa mada, leo Samatta hakuwa na kiwango bora, ila sio vyema kumfanyia tathmini kwa kutumia mechi ya leo pekee, tumpe muda. Mimi binafsi bado nina imani naye, jambo la msingi aendelee kujituma ili asituangushe Watanzania wenzake tunaomuamini.
 
Watz tuache ushabiki issue samatta anatakiwa akaze epl pale nafasi ya kufunga ya uhakika huja mara moja moja kama leo kakosa kutokana na kukosa utulivu sasa nyie mnatukana tu mtu akisema AKAZE EPL SIO LA LIGA
 
Mwenyewe unajiona unajua kukiko Samatta wakati hata ligi ya mtaa hujacheza na kama ulicheza labda rede na dada zako, kijana wa kiume aliyecheza hata chandimu hawezi kuandika haya matakataka yako labda tu awe sio miongoni mwa wanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kila maoni yafanane na unayoitaji hayo sio maoni ukweli ni kuwa kakosa umakini leo maaanhata off/on target hana.
 
Kwa uchezaji alio cheza leo inaonyesha kabisa huyu jamaa hamna kitu, yaani hawezi kucheza ligi ya Uingereza. Magoli ya uchi anakosa kabisa, Villa walikurupuka katika usajili wa Samatta.

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom