Je, Samatta atafanya makubwa EPL?

Je, Samatta atafanya makubwa EPL?

Kwa uchezaji alio cheza leo inaonyesha kabisa huyu jamaa hamna kitu, yaani hawezi kucheza ligi ya Uingereza. Magoli ya uchi anakosa kabisa, Villa walikurupuka katika usajili wa Samatta.
Mkuu wewe baki na roho mbaya yako na mawivu yasio na mpango..
Wewe unaona hamna kitu Villa wanamuona atawasaidi kama sio leo kesho..
 
Hapana kusema hana kitu kabisa sio sawa ila hakuwa na mchezo mzuri na kucheza kule sio mchezo ni lazima uwe 100% fit. Sasa mara nyingi huwa tunasikia wachezaji wengine wakija EPL hata kama wametoka league bora huwa wanapewa muda kuendana na speed na nguvu katika mpira wa EPL. Bahati mbaya jana wamekutana na team nzuri Leicester na walikuwa sharp sana kuhusu Samatha unaona kabisa ana struggle na speed ya mpira na sikushangaa sana japo nilikuwa naomba angepata hata goal tu ingempa hali ya kujiamini. Ona Minamino Liver wanamleta taratibu na sio kwamba sio mchezaji mzuri tumemuona CL ila mpaka sasa mechi 3 bado hajacheza kiwango ila hilo ni jambo la kawaida. Fabinho miezi 5 sijui bench sio kwamba mbaya ila imechukuwa muda leo star Liver. Mpira ule ni wa level nyingine na naamini akifanya jitihada na kuelewa mpira wa EPL iko siko atacheza vizuri tu tumpe muda kama tunavyowapa muda wengine.
 
Watz tuache ushabiki issue samatta anatakiwa akaze epl pale nafasi ya kufunga ya uhakika huja mara moja moja kama leo kakosa kutokana na kukosa utulivu sasa nyie mnatukana tu mtu akisema AKAZE EPL SIO LA LIGA
Acha kufananisha La liga na vitu vyakijinga.
 
Mkuu wewe baki na roho mbaya yako na mawivu yasio na mpango..
Wewe unaona hamna kitu Villa wanamuona atawasaidi kama sio leo kesho..
Binamu niliwahi kuambiwa kumchukia mtu pasi sababu ni sehemu ya msongo wa mawazo eti. 😎

Binamu nililala nakuja kuamka dkk ya 77 nikamalizia zilizobakia. Sikuwa najua kama alianza aiseee. Japo nilimuona akishangilia goli lile la Mmisri.

Nionavyo mleta uzi atenge muda zaidi kumfuatilia.
 
Hahahaaa. Binamu niliwahi kuambiwa kumchukia mtu pasi sababu ni sehemu ya msongo wa mawazo eti. 😎

Binamu nililala nakuja kuamka dkk ya 77 nikamalizia zilizobakia. Sikuwa najua kama alianza aiseee. Japo nilimuona akishangilia goli lile la Mmisri.

Nionavyo mleta uzi atenge muda zaidi kumfuatilia.
Bina chuki ufupisha maisha. Kwa maana uwenda ukachukia kitu usicho kijua... Bina usia huo 😁 Shadeeya
 
Kwa uchezaji alio cheza leo inaonyesha kabisa huyu jamaa hamna kitu, yaani hawezi kucheza ligi ya Uingereza. Magoli ya uchi anakosa kabisa, Villa walikurupuka katika usajili wa Samatta.
Badala ya kuijadili timu unamjadili Samatta kana kwamba soka ni kama boxing vile mchezaji ni mmoja.
 
Back
Top Bottom