Je, Samia Suluhu hajui kuzima MIC za Urusi? Putin ainglia kati kumsaidia

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Yule Samia wenu kaonekana akizunguka Ukumbini na receiver ya tafsiri ya lugha kila sehemu hata mic hakuzima. Putin akaingilia kati, kamwambia siri zako zitasikika, zima mic namna hii. Vitu vidogo tu unashindwa kujifanyia hadi ufanyiwe? Kidogo akate waya wa Watu🤣🤣

Katia aibu sana
Your browser is not able to display this video.
 
Kinachokusumbua wewe ni chuki dhidi ya samia,kumbuka rais ni binadamu kama ulivyo wewe,sio ajabu kushindwa kuzima mic tena zilizoandikwa kirusi,cha ajabu kipi?
 
Yaani hili limama kweli lihippopotumus. jinga sana. Akili ya kifikili haipo kabisa
 
Kumbe Putin si mtu mbaya kama ambavyo yale mashetani ya Marekani yanavyotaka kum portray.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…