Je, Samia Suluhu hajui kuzima MIC za Urusi? Putin ainglia kati kumsaidia

Putin ni former KGB yupo makini licha ya umri wake kwenda usimlinganishe na huyo mla urojo.
 
Wajuaji ni wengi 😀 jambo la kawaida tu hata ungekuwa wewe ungesaidiwa tu
 
Watu walishavurugwa kweli. Kuna jirani yangu alimpa mtoto jina la samia sasa hivi mtoto ana miaka minne kalikataa hilo jina yaan halitaki kabisa. Hadi cheti cha kuzaliwa imebidi wabadilishe kabsaa.
 
Mtoto ndio kakataa au mzazi ndio kakataa? Kwa nini wanakataa jina?
 
Huyu mama asingekua Mwanasiasa inaonekana angekua mtu mmoja innocent sana... japo simpendi ninavyomuona ni system tu imebadilisha but naturally anaonekana hana roho mbaya kihivyo... cheki hyo sura yake japo mm sio mungu nimefikiria mara mbili.
 
Watu wanapenda kuhukumu watu hata wasio wafahamu ili mradi tu ameongea
 
Mkuu nimejaribu kufikiria tu maana siasa ina mambo mengi sana... hii dunia ina siri nyingi sana, kuna mambo yanafanyika huwa tunalaumu lakini mengine huenda yako nje ya uwezo wake.
 
Yes hata apewe huyo anayelaumu naye atalaumiwa binadam bwana Acha tu.hata umpe nani mitume mnabii walilaumiwa simbuse sisi
 
Ndiyo, hajui. Haya nendeni mkamwambie lissu segerea huko Kisha anzisheni tone tone halafu mkamtoe ikulu pale kama mlivyofanya mwaka jana okt 29, au sio?
 
Huyu mama asingekua Mwanasiasa inaonekana angekua mtu mmoja innocent sana... japo simpendi ninavyomuona ni system tu imebadilisha but naturally anaonekana hana roho mbaya kihivyo... cheki hyo sura yake japo mm sio mungu nimefikiria mara mbili.
Watu wanaoonekana innocent mara nyingi ni wabaya sana mioyoni mwao. Ogopa sana watu kama hao. Hao wale wanaoonekana wakimya. ni hatari sana
 
Back
Top Bottom