kulagha nenga
JF-Expert Member
- Jan 1, 2026
- 690
- 1,375
Wewe ukitwa Idd Amin utafurahi, inawezekana watoto wenzie au majirani au wazazi mtazamo yao imebadilika kutokana na yanayoendeleaMtoto ndio kakataa au mzazi ndio kakataa? Kwa nini wanakataa jina?
Kiujazo mtu moyoni ndo ukifanya. Kwa katiba ya sasa hivi ina mpa madaraka makubwa sana raisi. Sasa kama ni innocent anashindwa nini kutumia madaraka makubwa aliyopewa kuonesha umma kuwa yeye yuko clean. Usidanganyike na sura mkuuHuyu mama asingekua Mwanasiasa inaonekana angekua mtu mmoja innocent sana... japo simpendi ninavyomuona ni system tu imebadilisha but naturally anaonekana hana roho mbaya kihivyo... cheki hyo sura yake japo mm sio mungu nimefikiria mara mbili.
Kama kunishushia heshima babu yako ndo furaha yako ni sawa tu.dogo kinyamkela hujambo?
Ndiyo maana yake...Kinachokusumbua wewe ni chuki dhidi ya samia,kumbuka rais ni binadamu kama ulivyo wewe,sio ajabu kushindwa kuzima mic tena zilizoandikwa kirusi,cha ajabu kipi?
Mshamba wa kusiniYule Samia wenu kaonekana akizunguka Ukumbini na receiver ya tafsiri ya lugha kila sehemu hata mic hakuzima. Putin akaingilia kati, kamwambia siri zako zitasikika, zima mic namna hii. Vitu vidogo tu unashindwa kujifanyia hadi ufanyiwe? Kidogo akate waya wa Watu🤣🤣
Katia aibu sana
View attachment 3602719
Ushamba umemjaa huyu muuajiYule Samia wenu kaonekana akizunguka Ukumbini na receiver ya tafsiri ya lugha kila sehemu hata mic hakuzima. Putin akaingilia kati, kamwambia siri zako zitasikika, zima mic namna hii. Vitu vidogo tu unashindwa kujifanyia hadi ufanyiwe? Kidogo akate waya wa Watu🤣🤣
Katia aibu sana
View attachment 3602719
Kashangaa unaabiwaYaani Hadi Putin mwenyewe kaona hapa hakuna MTU .
Aibu juu ya aibu