Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Rekebisha idadi hizo sio elfu tisini na nane ni elfu Tisa Mia nane, yaan hazijafika ata elfu kumiTAMISEMI walipewa kibali cha kuajiri waalimu wapya 98,000 na walioomba ajira hadi kufikia Mei 4 ni watu 119,133 ambayo ni 12.15 larger than the available posts. Hiyo ni sawa na 1215.6%, na hapa TAMISEMI wameongeza muda wa kutuma maombi. Je Hii inakupa picha gani?
Hata kwa watumishi wa afya, watu ambao walikuwa muhimu na wachache, hali imekuwa tofauti kwa sasa kwani TAMISEMI ilipewa kibali cha kuajiri watu 7,612 wa kada ya Afya ambao pia watu 39,053 wameomba ajira ikiwa ni idadi kubwa mara tano ya wanaohitajika, yaani waliiomba ni 513% ya ajira zilizotangazwa.
Je, sera ya ajira inaangalia utaratibu gani kudeal na tatizo hili?
View attachment 2212199
Sawa sawa mkuu, uliomba lakiniRekebisha idadi hizo sio elfu tisini na nane ni elfu Tisa Mia nane, yaan hazijafika ata elfu kumi
Mimi nimewaza kitu kimoja hivi! Kama walioomba ni wengi ilikuwaje wakasogeza deadline ikawa siku nne mbele?TAMISEMI walipewa kibali cha kuajiri waalimu wapya 9,800 na walioomba ajira hadi kufikia Mei 4 ni watu 119,133 ambayo ni 12.15 larger than the available posts. Hiyo ni sawa na 1215.6%, na hapa TAMISEMI wameongeza muda wa kutuma maombi. Je Hii inakupa picha gani?
Hata kwa watumishi wa afya, watu ambao walikuwa muhimu na wachache, hali imekuwa tofauti kwa sasa kwani TAMISEMI ilipewa kibali cha kuajiri watu 7,612 wa kada ya Afya ambao pia watu 39,053 wameomba ajira ikiwa ni idadi kubwa mara tano ya wanaohitajika, yaani waliiomba ni 513% ya ajira zilizotangazwa.
Je, sera ya ajira inaangalia utaratibu gani kudeal na tatizo hili?
View attachment 2212199
Toa breakdown wanawake wangapi na wanaume wangapiAJIRA UALIMU: WALIOOMBA 119,000 NAFASI ZILIZOPO 9700, wabunge tufanye jambo
Hapa Kuna ulazima wa bunge kuweka mjadala wa dharula kujadili elimu yetu
Tunatakiwa tubadili jambo
Na gepu la kutokuajiri miala mi 5 halitajazwa kamwe.Aliyeleta tatizo la Ajira ni Maghufuli , huyu mwamba anatakiwa kulaumiwa Sana , moja ya worst mistake kubwa sana alifanya
Kwanza aliacha kuajiri serikalini. Halafu akaona haitoshi akaua sekta binafsi. Na kila siku watu wanamaliza elimu. Yaani tukikaa vibaya uhalifu utaongezeka. Hali itakuwa ngumu. Mzunguko wa hela utapungua. Na mifuko ya pensheni kukaukiwa hela.Aliyeleta tatizo la Ajira ni Maghufuli , huyu mwamba anatakiwa kulaumiwa Sana , moja ya worst mistake kubwa sana alifanya
Unaanzaje kulijaza Mzee , Kikwete alienda clear Sana , mpak anatoka hakuacha upande wa elimu na Afya hakuna aliyekuwa mtaani , jiwe amekuja amerundika zaidi ya watu 200000 unawatoaje hao , hapo ni kutengeneza mwanya mkubwa Sana wa rushwaNa gepu la kutokuajiri miala mi 5 halitajazwa kamwe.
Elimu ya ujasiriamali ni muhimu iwe integrated kwenye curriculum yetu, pamoja na vocational studies, hilo tatizo sio rahisi kulimaliza moja kwa moja kwa kutoa ajira kwasbb kila mwaka vyuo vinazalisha wengine.Ushauri wangu kwa tamisemi ni kuajiri walimu wale waliokaa mda mrefu mtaani kwanza then wafuate hawa wa miaka ya karibuni kuanzia 2018.Nawajua watu wamemaliza tangia 2015 hadi na 2017 .wanakaribia kujinyonga sasa mana hawana pakushika.chonde chonde tamisemi zingatieni umri wa watu mana watu wamekaa sana mtaani wanakaribia kugonga 35 umri bado hana uhakika wa ajira.
Elimu ya ujasiriamali iende sambamba na sera na mazingira wezeshi kwa wajasiriamali.Elimu ya ujasiriamali ni muhimu iwe integrated kwenye curriculum yetu, pamoja na vocational studies, hilo tatizo sio rahisi kulimaliza moja kwa moja kwa kutoa ajira kwasbb kila mwaka vyuo vinazalisha wengine.