Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
TAMISEMI walipewa kibali cha kuajiri waalimu wapya 9,800 na walioomba ajira hadi kufikia Mei 4 ni watu 119,133 ambayo ni 12.15 larger than the available posts. Hiyo ni sawa na 1215.6%, na hapa TAMISEMI wameongeza muda wa kutuma maombi. Je Hii inakupa picha gani?
Hata kwa watumishi wa afya, watu ambao walikuwa muhimu na wachache, hali imekuwa tofauti kwa sasa kwani TAMISEMI ilipewa kibali cha kuajiri watu 7,612 wa kada ya Afya ambao pia watu 39,053 wameomba ajira ikiwa ni idadi kubwa mara tano ya wanaohitajika, yaani waliiomba ni 513% ya ajira zilizotangazwa.
Je, sera ya ajira inaangalia utaratibu gani kudeal na tatizo hili?