Je, Serikali haikuwachukulia hatua kina James Delicious?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Kuna wakati niliwahi kusikia serikali imewachukulia hatua watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja akiwemo james delicious na amber ruti.

Nimeuliza kwa sababu mara nyingi nawakuta hawa watu mitandaoni wakiendelea kujitangaza kua wanahusika na mapenzi ya jinsia moja au ya kinyume na maumbile.

Hebu angalia jamaa yuko Tinder anajiita cha utamu wa Dar es Salaam, yaani Dar es Salaam sweetheart.
 
Waache kushughulika na mambo muhimu waanze kukimbizana na kina hao delicious sijui utamu??
 
Serikali iache kujenga taifa kwenye mambo mhimu, ianze kukumbizana na watu wanaotumia 071 zao.
 
Hivi huyo jamaa bado yuko hai?
Niliwai kusikia kua amefariki kipindi flani.
 
Kwani ni mwili wa serikali au ni wake mwenyewe?
 
Are you interested in men ?. Najua almost if not all Dating sites huonesha kitu umekitaka kwenye search filter au ulikuwa unatafuta marafiki wa kiume tinder
Hapana, nashangaa mara nyingi hua naletewa mashoga. Nadhani wao kwenye gender wameandika ni wanawake au wameandika wao ni wanaume wako interested na wanaume wenzao.

Hua nakutana nao wengi ila kukutana na james ndio nikashangaa. Nilijua yuko jela kumbe yuko mitandaoni huku anatusumbua.
 
Ukiweka kwenye search upo interested na women hutowaona. Never mind me lakini
 
Sasa ww habari za huko sijui tinder unaleta humu za nn ziache huko huko kwani mwili ni wanani? Waserikali au wake.

Alafu kuna kipengele fulani shangazi alishawahi kukiweka cha sheria kuhusu yana mambo ya kuingiliana kinyume kilikuwa kina elezea kila mtu anahaki ya kufanya maana nimwili wake mwenyewe kujua atanisaidia kukiweka hiko kifungu hapa.
 
Mkuu mbona km unatetea hizi mambo? Kuna usalama

Cc kijana Mpole
 
Namshauri James ajichange akafanye trans gender tu ili awe shemale..

Kajamaa kamelegea kabisa yani. Na wanao kapiga bomba wanamioyo aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…