Je, Serikali haikuwachukulia hatua kina James Delicious?

Je, Serikali haikuwachukulia hatua kina James Delicious?

Are you interested in men ?. Najua almost if not all Dating sites huonesha kitu umekitaka kwenye search filter au ulikuwa unatafuta marafiki wa kiume tinder

Lakini umesoma vizuri hiyo profile imeandikwa Woman?
Maana yake ni kuwa katika search zake amechagua women na bwana james kaibukia huko
 
Mkuu mbona km unatetea hizi mambo? Kuna usalama

Cc kijana Mpole
🤣 🤣 🤣 🤣 mm lijali ww na sio msengelema shida sio kuwazuia hao watu shinda ni kwamba wateja wapo ndio maana bidhaa bado inaendelea kuwepo wafukua mitaro washakuwa wengi na siku hizi watu wanaona ni fashion.
 
Aaahh.. vijana wanafukuana huko af wakija huku wanaanza kutuzuga[emoji23][emoji23]

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] mm lijali ww na sio msengelema shida sio kuwazuia hao watu shinda ni kwamba wateja wapo ndio maana bidhaa bado inaendelea kuwepo wafukua mitaro washakuwa wengi na siku hizi watu wanaona ni fashion.
 
Mkuu wa mkoa pendwa nae ni member wa mtandao

SUBIRI KIDOGO
 
Are you interested in men ?. Najua almost if not all Dating sites huonesha kitu umekitaka kwenye search filter au ulikuwa unatafuta marafiki wa kiume tinder
Itakuwa huyo shoga ndiye aliyeweka kuwa jinsia yake ni ya kike (inaeleweka kuwa shoga hawezi kuweka jinsia yake ni ya kiume), kwahiyo ukiweka kwa filter kuwa upo interested na wanawake, huyo shoga naye anatokelezea tu.
 
Hapana, nashangaa mara nyingi hua naletewa mashoga. Nadhani wao kwenye gender wameandika ni wanawake au wameandika wao ni wanaume wako interested na wanaume wenzao.

Hua nakutana nao wengi ila kukutana na james ndio nikashangaa. Nilijua yuko jela kumbe yuko mitandaoni huku anatusumbua.
Huyo shoga ameset kuwa jinsia yake ni ya kike, wala isikupe shida mkongwe.
 
Mkuu usije kuwa uko kwenye "promo", ni wewe mwenyewe...kumradhi lakini kama ni tofauti!
 
Khaaaaaaaaaaah damon lol, nmecheka had bas uwiiiiiiiiiiiiiih, aseeeh hatareeeeeh san mweeeeeeeh
 
Back
Top Bottom