usatz
Member
- Sep 4, 2016
- 96
- 45
Leo nimesikia kwenye Taarifa ya habari ya E FM radio, 93.7 Dar es salaam.
Kuwa Mradi wa Maji uliotolewa na World bank, Mkandarasi ni Mchina.
Juzi nikiwa maeneo ya madale niliona wachina wakiwa wanasimamia uwekaji wa mabomba ya maji maeneo hayo.
Swali ni kwamba?
1. Serikali haina imani na Wataalamu wazawa?
2. Mradi unamasharti ni lazima mchina afanye?
3. Dawasco hawana uwezo wa kuusimamia?
4. Chuo cha Maji pale Ubungo hawazalishi wataalam wa kiwango cha kupewa huo mradi?
5. Wataalam wa maji Tanzania hawana uwezo wa kusimamia huo mradi?