Kijan ni ishara ya hatar kwa polis yaan yupo vitan si umeona nch ya motoHayati Magufuli enzi za uhai wake akiwa Rais wa awamu ya tano aliagiza askari wa kike wasivae sketi na zibadilishwe wavae suruali.
Yalikuwa ni maamuzi sahihi sana hasa kwa trafiki wa kike ambao sketi kuna muda zilikuwa zinawapa shida kwenye utekelezaji wa majukumu wao.
Sasa awamu hii, naona siku hizi askari polisi wote wanavaa jungle green.
Zile uniform zao za kaki ni kama hazipo katika majukumu yao ya kawaida ya kila siku.
Je serikali imebadili uniform za polisi zile kaki?
Wajuzi mje mtujuze sie wananzengo.
Zamani GD walivaa Khaki na Mkanda wa TZ Jungle Green walivaa kwa operations pekee kwasasa GD wanavaa Jungle Gree muda wote wakazi hata Beret ni FFu pekee ndio huvaaKwani hizo kaki hazivaliwi tena? Hapana hiyo ndio uniform
Moto umeunguaKijan ni ishara ya hatar kwa polis yaan yupo vitan si umeona nch ya moto
Kaki ndio uniform kama ilivyo OG na no3 kule kwingine, jungle na kitenge ni kwa ajili ya op, standby qrf.Zamani GD walivaa Khaki na Mkanda wa TZ Jungle Green walivaa kwa operations pekee kwasasa GD wanavaa Jungle Gree muda wote wakazi hata Beret ni FFu pekee ndio huvaa
Inategemea kitengo.Hayati Magufuli enzi za uhai wake akiwa Rais wa awamu ya tano aliagiza askari wa kike wasivae sketi na zibadilishwe wavae suruali.