Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,559
Unauwa sekta binafsi then unatuambia makusanyo yameongezeka kutoka wapi sasa, Hali umekausha mito ileteyo maji ziwani
Unaelewa madhara ya serikali kufanya kila kitu? Ni zile expansion joints kama za yale mabweni ya UDSM (Magufuli). Nani atamsimamis TBA wakati kila kitu anafanya mwenyewe? Quality control iko wapi? Kumbuka ni hao hao TBA walishindwa kumalizia ujenzi wa kota za Magereza pale Ukonga mpaka zikaja kumaliziwa na JKT.Sekta binafsi wengi ni wezi, acha serikali ijenge nchi
Serikali ya ovyo sana Hii,unataka sekta binafsi ikulipe Kodi,harafu wakati huo huo,unaiua sekta binafsi.
Serikali imesababisha sekta binafsi idolole sana, serikali imekopa pesa nyingi kutoka benk za ndani,kiasi kwamba mabenki hayana pesa za kukopesha sekta binafsi.
Yaani kule serikalini,Kuna mijitu inafikiri kila Mtanzania anafanya kazi bot,TRA,TBC,ukiyaambia huku kitaa tunakufa,makampuni yanaounguza watu,yanakujibu wewe ni mpiga deal.
Yamejenga, Ikulu, yanajenga SGR, yamenunua madege, sasa huo mtaji wote umelala, hauingizi kitu!
Mbona majengo ya magufuli hostel bado yanatumika ? Kwani yameanguka ?Unaelewa madhara ya serikali kufanya kila kitu? Ni zile expansion joints kama za yale mabweni ya UDSM (Magufuli). Nani atamsimamis TBA wakati kila kitu anafanya mwenyewe? Quality control iko wapi? Kumbuka ni hao hao TBA walishindwa kumalizia ujenzi wa kota za Magereza pale Ukonga mpaka zikaja kumaliziwa na JKT.
Kodi zitatoka wapi?