KERO Je, Serikali imefikia wapi kuhusu suala la bei ya Saruji? Maana ni kimya sasa

KERO Je, Serikali imefikia wapi kuhusu suala la bei ya Saruji? Maana ni kimya sasa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Je serikali imefikia wapi kuhusu suala la cement? Mana ni kimya sasa
 
Hawajengi nyumba kwa pesa za jasho lao..wanajenga kupitia mikopo na makato ya wavuja jasho plus humo humo ni viwanda wako na % ni ngumu mno kusikia imeshuka.
Ukichanganya na sisi ni bora liende basi wacha tutembee hivyo hivyo
 
Badala uzungumzie chanzo (bei ya mafuta,diesel&petrol) unazungumzia matokeo.

Mafuta yanazidi kupaa,kuzungumzia kupunguza bei ya saruji ni siasa tu.

Tena kama upo Dar kaa kimya,mkoa za kichina ni 25K,Nyati 27K.
 
Poleni sana watu waliambiwa wajipimie kwa urefu wa kamba zao .

Huwa nikimsikia mtu anawaita wazungu mabeberu nacheka sana maana beberu huyu amestaarabika kuliko hata anayemwita hivyo.

Ukipata muda pitia hizi kanuni za hao wanaoitwa mabeberu na je zingekuwepo Tanzania unafikiri ni wangapi wangepona?

 
Back
Top Bottom