Watapewa mikopo ya bodaboda na kuitwa maafisa usafirishajiWakubwa shikamooni katika jukwaa Leo nimewiwa kuomba muongozo kwa wakubwa juu ya hali iliyo Sasa ya kimaadili , technology,
Je serikali imejipanga vipi kulinda uzao wa kizazi cha watu mahiri wa kulitumikia taifa katika uadirifu usiri na njia sahihi kijamii ,ki nchi kwa ujumla ukikaa na kufikiria hichi kizazi chetu technology,makuzi imeweza kuharibu mifumo mingi ya vijana kiasi kwamba unaweza je wakiondoka Hawa millennials taifa litakuaje hapo mbeleni ?
Vijana wa kisasa wamefikwa vibaya ki maadili Iman na mengine kwa kiasi kikubwa je Kuna mkakati Gani uliopo wa kuwajenga vijana wasimamizi wa kesho wa taifa ? ni hayo tu wakubwa
Mleta mada kakosea sana..ilibidi awe muwazi kua vijana wa mihemko wa CHADEMA basiSelikali hii ya kipumbavu ya CCM haina hhayo Maono
Wenzio wqnawaza kuiba hazina yote ya Taifa.
Yakitokea maandamano wanadhani watawadhibiti Raia kwa Mtutu.
Au kuteka
Mauaji nk
"Tusiseme hatuna matatizo kwa kuyaficha matatizo yetu wenyewe. Ujasiri wa taifa hauko katika kuficha kasoro zake, bali katika kuzikubali na kuzitatua." Mwalimu J K Nyerere
Kama ni hivyo bas itafika kipindi hata izo Mali hawatozifaidi sababu ya jamii kubwa itakuwa katika ufukara mkubwa kiasi cha kushindwa kutawalika wazee wenye umuhimu katika nchi kimkakati iwe katika idara za usalama /uchumi /nk walitazame hili kwa Jicho la mbali zaid wazee wa miaka 20 ijayo watakuwa wamewekeza Nini ikiwa mfumo wa maisha haueleweki kwa raia mkubwa ndevu mdogo ndevuSelikali hii ya kipumbavu ya CCM haina hhayo Maono
Wenzio wqnawaza kuiba hazina yote ya Taifa.
Yakitokea maandamano wanadhani watawadhibiti Raia kwa Mtutu.
Au kuteka
Mauaji nk
"Tusiseme hatuna matatizo kwa kuyaficha matatizo yetu wenyewe. Ujasiri wa taifa hauko katika kuficha kasoro zake, bali katika kuzikubali na kuzitatua." Mwalimu J K Nyerere
Utafunguliwa case ya uhaini, Katuga akisoma hapa, anawashwa kufungua case hapo.βTunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa, vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga Vita mfumo wa jamii isiyo shabihiana na matakwa na matalajio ya jamii ya Kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mfumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifaβ.
Mwalimu JK Nyerere
Kila nikiona wenzangu wengi walivyo na wanayoyawaza kiuchumi kiusalama na Imani ni msiba mtupu katika kizazi hiki ni kama kesho Yao iwe ya miujiza katika hili viongozi watazame kwa Jicho la tatu tunazalisha mabomu katika nyanja zote nimefanya research katika wahitimu wa vyuo ,makundi ya vijana katika groups za mitandao ya kijamii na topic mbali mbali ule umahiri wa wa TZ unazidi kupunguzwa nguvu katika kulikomboa taifa
Kwanin usiondoe mtazamo wako kisiasa ?mkuu ndo hapo tunashindwa kuongea lugha moja kwajil ya uchadema na uccm unadhan ni jambo salama ? Uzuri na wewe una ndugu na huenda wanachangamoto ya hiki nilichokiandika je nao ni chadema ? sikuweka mada katika siasa samahani kiongoziMleta mada kakosea sana..ilibidi awe muwazi kua vijana wa mihemko wa CHADEMA basi
Tanzania ni lango la nchi nying ukiondoa ajira za serikalini je inashindwa kutengeneza hub za vijana kufundishwa elimu ya kimkakati juu ya kuendesha uchumi nje ya nchi mfano Kuna mradi mkubwa wenye manufaa wa mafuta unahitaji watu wa kimkakati congo Rwanda Zambia Zimbabwe nk kama serikali ingezalisha ma tycoon wa kimkakati kwenye nchi tajwa ili hata deal likija liweze kupenya kiurahisi katika nchi hizo pasipo kuzuiliwa na mahasimu wetu ? Huenda wapo ila sidhan kwa kiwango kizuriVijana gani hawa ambao hata elimu nzuri hawapati ingawa nao wengi wamegoma kusoma kwa sababu hata akimaliza form six bado ni bogus tu
Serikali inaona wakiwa boda na wengine kuokota machupa kama wehu ndio furaha yao ili waendelee kutawala
Hakuna nia ya kuongeza ajira kila mwaka kwa sababu ya elimu duni.
Sijui hao wajao watakuwaje maana hata wazazi wameamua kuwapa simu pindi wanapolia tu wakati wa kula
Usitegemee mema kwa hawa watoto
Kuna shule za private mpaka 65m kwa mwaka unafikiri wanaosoma ni kina nani
hii serikali haina legacy yoyote sasa hayo maono yatatokea wapi mzeeee??
yan hii serikali ni bora ikabidhi madaraka kwa Gen z saiv waanze kutengeneza njia yao wenyewe
Viongozi wengi ni kama hawa wanaokaa madarakani miaka 40 bila faidaTanzania ni lango la nchi nying ukiondoa ajira za serikalini je inashindwa kutengeneza hub za vijana kufundishwa elimu ya kimkakati juu ya kuendesha uchumi nje ya nchi mfano Kuna mradi mkubwa wenye manufaa wa mafuta unahitaji watu wa kimkakati congo Rwanda Zambia Zimbabwe nk kama serikali ingezalisha ma tycoon wa kimkakati kwenye nchi tajwa ili hata deal likija liweze kupenya kiurahisi katika nchi hizo pasipo kuzuiliwa na mahasimu wetu ? Huenda wapo ila sidhan kwa kiwango kizuri
Katuga ni robotUtafunguliwa case ya uhaini, Katuga akisoma hapa, anawashwa kufungua case hapo.
Mxxxiiiieeew ππ
Kwa kweli. ππKatuga ni robot
Boda boda na kazi nyingine ndog ndog ni kwajil ya kipato cha mmoja mmoja vuta picha tuna vijana wa kimkakati wenye company kubwa za kimkakati nchi jirani mfano company za nishati ujenzi na vyakula bidhaa je tukiweza anzisha viwanda vya hizo bidhaa kwetu haitotuumiza kichwa katika ushindani wa tenda na uendeshaji sababu ya mfumo tuliona uwekaWatapewa mikopo ya bodaboda na kuitwa maafisa usafirishaji