Je, Serikali imejiandaa vipi kwa vijana Gen Z katika kusimamia Taifa 10 yrs later?

Je, Serikali imejiandaa vipi kwa vijana Gen Z katika kusimamia Taifa 10 yrs later?

“Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa, vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga Vita mfumo wa jamii isiyo shabihiana na matakwa na matalajio ya jamii ya Kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mfumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa”.

Mwalimu JK Nyerere
Kwadunia ya Sasa wakubwa wa nchi wasiruhusu uadui wa nchi uanzie ndani yetu ni kitu kibaya zaid maan sabotage itakuw nje na ndani kiasi cha kulimaliza taifa wenyewe hatujifunzi kwa nchi zilizo tutangulia hata kama si kama walivyofanya wao lkn hatua moja hufungua nyingine kabla ya kupaa Kuna kuruka bas tuanzie hapoo ifikee mahari vijana wawe proud kufia nchi Yao kwajil ya maslahi ya nchii hii hatua ni level kubwa ya kumshinda adui / mahasimu wetu mfano Kuna gold congo 24 qbmbqzo zinahitajika katika soko la Dunia je tuna wa TZ wangapi wenye company kubwa huko za kimkakati ? Leo hii mtu anataka bukavu kwenda kukutana na tajiri Dubai wakati hata sisi tuna uwezo wa kimkakati kufanikisha hili
 
Wanawaandaa watoto wao na vitukuu vyao eti vije vitutawale sasa VICE VERSA IS TRUE
Sio rahisi kama wanavyodhani kama ni ivyoo zaid zaid watachochea machafuko Dunia ya Sasa si kama Ile ku control akil ya mwanadamu si rahisi kiivyo mfano mwanzo watu kusema kuhusu mambo ya serikali ilikuw mtihan mkubwa sana kiasi kwamba vijana wachache wenye 20's walikuwa na uwezo wa kuthubutu Leo hii mtu ana ka vpn anafumua mambo na sio mmoja ni wengi Sasa je uko mbeleni itakuaje ifikee mahari wakae chini na waqnze kushughulikia na kukubali tumekwama vijana ni wasikivu na wataelewa na tutavuka hapo sababu ya mentality iyo utaanzia juu kuwa Sasa ni mda wa kufunga mkanda kuanzia viongozi mpk raia mmoja mmoja hapo tutalikomboa taifa kwa kuweka utayari wa kila mmoja
 
Kwanin usiondoe mtazamo wako kisiasa ?mkuu ndo hapo tunashindwa kuongea lugha moja kwajil ya uchadema na uccm unadhan ni jambo salama ? Uzuri na wewe una ndugu na huenda wanachangamoto ya hiki nilichokiandika je nao ni chadema ? sikuweka mada katika siasa samahani kiongozi
Kumbe sio jukwaa la siasa mkuu..nilikua sijaona.
 
Viongozi wengi ni kama hawa wanaokaa madarakani miaka 40 bila faidaView attachment 3684502
Jamaa anainyoosha nchi bila propaganda ndomana wananchi wanamkubali na kujilinda nchi Yao na matokeo yanaonekana niliona ka clip vitoto vidog vinafundishwa uzalendo na uchapakazi kulitumikia nchi Yao si ajabu ndan ya miaka 10 burknafaso ikawa supa power Africa magharibi na kati sababu wanaandaa kwajili ya kesho sisi tuna fail wapi ? Je siasa(hadaa) inaitafuna taifa letu bas kama ni ivyo tunajichimbia Kabur wenyewe si watoto wa viongozi Wala si sisi walala hoi bado hatujachelewa tufanye vitu kwa vitendo na utulivu wa ndani
 
Kumbe sio jukwaa la siasa mkuu..nilikua sijaona.
Me ni kijana mdogo sana hupaswi kuniita mkuu ila yote kwa yote tupambanie kesho ya vizazi vyetu itapendeza tukiondoa mambo ya kisiasa yanaleta uhasimu tuijenge nchii bila ukabila uchama Wala udini
 
Jamaa anainyoosha nchi bila propaganda ndomana wananchi wanamkubali na kujilinda nchi Yao na matokeo yanaonekana niliona ka clip vitoto vidog vinafundishwa uzalendo na uchapakazi kulitumikia nchi Yao si ajabu ndan ya miaka 10 burknafaso ikawa supa power Africa magharibi na kazi sababu wanaandaa kwajili ya kesho sisi tuna fail wapi ? Je siasa(hadaa) inaitafuna taifa letu bas kama ni ivyo tunajichimbia Kabur wenyewe si watoto wa viongozi Wala si sisi walala hoi bado hatujachelewa tufanye vitu kwa vitendo na utulivu wa ndani
Bila wazungu na propaganda zao kuwaingila, wanafika mbali kwa vitendo
Sisi viongozi Wetu hawataki kuonyesha wana miliki nini
Wanajali matumbo yao na wa kuwakemea ndio anawatuma

Inatakiwa vijana walio na ushawishi sio tu wa kupiga kelele bali wa vitendo
 
Sasa vijana wenye nafasi izo nao wanashindwa kujitoa je tutafika ?? Ni ngumu kulinda uchumi wa kimkakati bila ulinzi haya mambo yaanzie kwa ushirikiano mzuri wa TISS na JWTZ matokeo yataonekana bila kelele pamoja na majaribio makubwa wanayopata burkinafaso lakini bado wanasonga mbele huku wakizidi kuwakuza kiuzalendo vijana wadogo sijaona taifa lenye sera za kiusalama hafifu alafu likawa na nguvu ya kiuchumi kwetu tunauwezo mzuri wa kiulinzi ila ni kama tumetosheka na tulipo ni kama mstaafu anayekunja 4 ili atumbue pesa za mafao wakati wenzetu ndo kumekucha katika Dunia ya ushindani wanaipigania vizazi vya kesho tuna lango la bandari ,madini,ardhi nzuri za kilimo, kwa geo politics tupo sehemu nzur ya kimkakati so tunarudi tatizo ni nn kama Kuna hujuma ndani je vyombo vya ulinzi vidhibiti hili swala tusonge mbele sababu resources zote tunazo za kufanikisha hili
 
Ni kweli unachosema imagine kijana mdogo anawaongoza wenye vyeo kumshinda lakini wamekubalina na maendeleo yake
Wapo waliotaka kumuuwa lakini Usalama wakagundua mapema
Sisi tatizo letu uzalendo ni sifuri na hakuna anaejali kuendeleza nchi yake

Sifa kuu kukamata wakimbizi kutoka Ethiopia na Somalia basi
Ila kuwa na mikakati ya kuendeleza nchi kwa vitendo hakuna
Troure ameanza na viwanda hata vya nyanya
 
Ni jambo la kusikitisha inapswa tuchukue notes kidogo kutoka kwao namna ya kudhibiti audui wa ndani kwa namna moja ama nyingine kama ilifika hatua hadi uasi lakini ukazimwa je tunahofia nin sisi ? na uzuri mtaala wa elimu yetu vijana wanapitia jkt tunahofia nin kuanza Sasa
 
Wakubwa shikamooni katika jukwaa Leo nimewiwa kuomba muongozo kwa wakubwa juu ya hali iliyo Sasa ya kimaadili , technology,

Je serikali imejipanga vipi kulinda uzao wa kizazi cha watu mahiri wa kulitumikia taifa katika uadirifu usiri na njia sahihi kijamii ,ki nchi kwa ujumla ukikaa na kufikiria hichi kizazi chetu technology,makuzi imeweza kuharibu mifumo mingi ya vijana kiasi kwamba unaweza je wakiondoka Hawa millennials taifa litakuaje hapo mbeleni ?

Vijana wa kisasa wamefikwa vibaya ki maadili Iman na mengine kwa kiasi kikubwa je Kuna mkakati Gani uliopo wa kuwajenga vijana wasimamizi wa kesho wa taifa ? ni hayo tu wakubwa

Wanawaanda wana wao .... usije shangaa Riz1 and Wanu ndiyo wapeperusha bendera ya CCM 2030.....!!
 
Wanawaanda wana wao .... usije shangaa Riz1 and Wanu ndiyo wapeperusha bendera ya CCM 2030.....!!
Aiseee ila yaliyopita inabidi tujifunze kama si ivyo bas yatakuja makubwa zaidi yangu machoo
 
Back
Top Bottom