Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Fani ya uandishi wa habari ni kama wanajeshi wa mstari wa mbele vitani, mkipigwa ambush, ni wajibu wako kutumia kitu kinachoitwa self initiative to survive kwa kupambana kwa akili yako yote, a loner battle ama ushinde na ukiona dalili za kushindwa una retreat na ikitokea umebananishwa you surrender. Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...Bwana Mayala tangu wakati ule Magufuli alipokupiga na kitu kizito haujawahi kurudi kwenye mstari.
Kama viongozi wanajitajirisha kwa pesa ya umma tukiwaita kwa majina na kuwaita wezini kosa?. Mfano Ben saanane alikuwa na facts juu ufisadi wa Phd ya Magufuli kilichompata wewe ni shahidiNaomba utofautishe uhuru wa kuikosoa serikali na uhuru wa kutokana serikali na viongozi wake. Kama ni ukosoaji with facts, if bado tunaongoza sana kuisaidia serikali kwa ukosoaji na nyuzi hazifutwi!. Ila kuna wenzetu humu ambao sio wazima, badala ya kuikosoa serikali wao ni kutokana na kuwatukana viongozi, if modes ni wazima wako macho na halali.
P
Eti bwana yule alikuwa anawapigia simu wahariri akiwaambia, 'wamuache afanye kazi'!Sasa hivi angalau kidogo wanaripoti, enzi zile ndo ilikuwa shida
Huenda ikawa hivyoEti bwana yule alikuwa anawapigia simu wahariri akiwaambia, 'wamuache afanye kazi'!
Namshangaa sana mleta mada, labda hakuwepo awamu ya tanoNi kweli, katika utawala wa awamu ya 5, vyombo vya habari vilipitia katika kipindi kigumu mno, nakifananisha kuwa vilikuwa kikaangoni
The MasterpieceAcha uongo Piskali huna lolote zaidi ya unafiki
Wengi wa waandishi wa habari, wanaandika habari za kujipendekeza, wakitegemea kuwa mwisho wa siku, dhali litawaangukia na wapate uteuzi, kama waandishi wenzao, akina Godwin Gondww na Fatuma Nyangasa, ambao Sasa hivi ni waheshimiwa ma-DC๐Tanzania Kuna media capture na mbaya zaidi tasnia ya habari kuna viwavijeshi wasio jitambua badala ya kuandika habari na kufanya investigative Journalism wako bize na habari za udaku (Yellow News)
"Waandishi wa habari Tanzania ina bidi wajifanyie uyakinifu thabiti katika kazi zao"
..Kwa nchi yoyote yenye utawala Bora, inavitumia vyombo vya habari kama mhimili wao wa 4, usio rasmi, baada ya mihimili rasmi ya Serikali, Mahakama na Bunge, katika kuendesha nchi.
Huwa wanavitumia vyombo vya habari kama "watchdogs" vyao Kwa kuwa huwa wanakosoa, Ili serikali Ione mapungufu yake Ili ijirekebishe, katika kuwaletea maendeleo wananchi wake.
Hali ni tofauti Sana hapa nchini kwetu, Kwa kuwa mihimili yote 3, yaani Serikali, Mahakama na Bunge, yote ni kama "imemezwa" na Mhimili wa Serikali, ambao ndiyo unaoelekea kuwa "umejichimbia" zaidi chini, hivyo kufanya mihimili mingine ya Bunge na Mahakama kutoweza kufurukuta!
Hata hivyo pamoja na mihimili hiyo 2 "kumezwa" na Mhimili mmoja, ambao ni Serikali, Bado hufanya Mhimili mwingine, usio rasmi, wa vyombo vya habari, kufanya kazi yake ya kukosoa Kwa weledi mkubwa, hivyo kuufanya Mhimili wa Serikali, kufanya kazi yake ikijirekebisha pale ilipokosolewa.
Hapa nchini kwetu, Mhimili wa Serikali, unachukua nafasi ya u-mungu-mtu, ambao hautaki kabisa kukosolewa na hivyo kufanya utawala Bora, kuwa kama hadithi tuuu ya alifu lela ulela!
Serikali inaweza kusema inatoa uhuru Kwa vyombo vya habari, pamoja na vile vya binafsi, kuwa huru, lakini "indirectly" uhuru huo wanauminya!
Kwa kuwa vyombo vya habari, hususani magazeti, hujiendesha Kwa kutumia matangazo ya biashara, na Serikali ikiwa ndiyo mtoaji mkubwa wa matangazo hayo, huweza "kuvipendelea" vyombo vya habari vinavyosifu sifu utawala huu wa CCM, Kwa kutumia lugha yao kuwa "Rais Samia anaupiga mwingi"na hivyo kutotoa matangazo hayo Kwa vyombo vya habari, ambavyo vinatekeleza wajibu wao kikamilifu wa kukosoa na hivyo kuvinyima matangazo hayo na hivyo kuvifanya vyombo hivyo vya habari binafsi, kutoweza ku-survive katika soko hilo.
Kwa Serikali kujifanya Iko 100 percent perfect, ndiko kunakoifanya ifanye figisu figisu hizo za kuvinyima fursa hiyo ya matangazo vyombo hivyo vya habari ambavyo viko "serious"
Hivi katika nchi kama yetu, ambayo imeweka mfumo wa kumfanya Rais wetu, ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa chama chake, kuwa kama mungu- mtu, ambaye ni binadamu, kutotoa nafasi ya kukosolewa, kunadhoofisha Sana mfumo wa utawala Bora.
Kwani vitabu vyote vya dini vinaamini kuwa ni Mungu pekee, ambaye yuko [emoji817] percent perfect, ambaye hapaswi kukosolewa.
Lakini sisi binadamu wote tuna mapungufu yetu na hivyo kutufanya kutumia njia ya kukosolewa kama njia ya kujirekebisha na hivyo kurudi kwenye msitari.
Ukiviacha vyombo vya habari vya mtandaoni kama Jamii forum, ambavyo uhuru wao wa kukosoa uko juu, vyombo vingine vya habari, kama vile magazeti, Televisheni na Radio, uhuru wao wa kutoa habari unathibitiwa na Serikali na upo chini Sana hapa nchini kwetu.
Dawa pekee na ya kudumu ni kupata Katiba mpya, ambayo itaweka mifumo imara ya kiuongozi wa nchi
Hela za kuhonga si zipoKwa nchi yoyote yenye utawala Bora, inavitumia vyombo vya habari kama mhimili wao wa 4, usio rasmi, baada ya mihimili rasmi ya Serikali, Mahakama na Bunge, katika kuendesha nchi.

In Tanzania the elites have captured the mediaTanzania Kuna media capture na mbaya zaidi tasnia ya habari kuna viwavijeshi wasio jitambua badala ya kuandika habari na kufanya investigative Journalism wako bize na habari za udaku (Yellow News)
"Waandishi wa habari Tanzania ina bidi wajifanyie uyakinifu thabiti katika kazi zao"
Wengi humu wanadhani kilichomtokea Ben Saanane ni sababu ya ile Ph.D iliyofojiwa!. It's not necessarily that!. Sababu halisi ni hii Kumbe Ben Saanane alipotea kwa sababu hii ya kuhoji ushindi wa fulaniKama viongozi wanajitajirisha kwa pesa ya umma tukiwaita kwa majina na kuwaita wezini kosa?. Mfano Ben saanane alikuwa na facts juu ufisadi wa Phd ya Magufuli kilichompata wewe ni shahidi
Ndiyo tatizo kubwa nchini kwetu, badala ya waandishi kufuata "ethics" za kazi yao, wao wakati wote wanawaza uteuzi wa Rais!
Hivi inakuwaje katika nchi yenye watu zaidi ya milioni 60, tuwaachie kikundi kidogo Cha watu kituamulie maisha yetu wote kibabe?๐In Tanzania the elites have captured the media
Wataiwajibishaje Serikali, wakati wenye jukumu hilo kikatiba, ambao ni Bunge letu, Kila siku wanasifu na kuabudu, Kwa kusema Mama anaupiga mwingi, wakijipendekeza Kwa Rais?Tatizo ni akili ndogo za wananchi kuto iwajibisha serikali na bunge.
Kwangu Mimi katiba mpya siyo suluhisho la matatizo ya Tanzania...hata tukiwa na katiba mpya ukiwa na uongozi usio na maono tutabaki kuwa maskini....tatizo la Tanzania ni leadership...tunahitaji uongozi went maono na went elements za uzalendo...Hivi inakuwaje katika nchi yenye watu zaidi ya milioni 60, tuwaachie kikundi kidogo Cha watu kituamulie maisha yetu wote kibabe?๐
Ni LAZIMA kama nchi, tuwe na Katiba mpya, ambayo itaweka mifumo imara ya kiuongozi
Huwezi kutudanganya, tunazo taarifa za uhakika kwamba jpm ndiye aliyemuua. Nashukuru Mungu kwa kutuondolea.mapema mlaaniwa yule.Wengi humu wanadhani kilichomtokea Ben Saanane ni sababu ya ile Ph.D iliyofojiwa!. It's not necessarily that!. Sababu halisi ni hii Kumbe Ben Saanane alipotea kwa sababu hii ya kuhoji ushindi wa fulani
P.