Je, Serikali imewaruhusu Polisi kula Rushwa?

Je, Serikali imewaruhusu Polisi kula Rushwa?

Jana nimemtuma dogo akachukue RB ili tumkamate mdeni wetu, akaambiwa RB lazima atoe chochote kitu. Hii nchi bwana.
HApo na wewe unatoa rushwa polisi kisheria hawaruhusiwi kupokea kesi za madai na wameshaonywa mara nyingi ila ndio njia yao ya kula rushwa, mashauri ya madai ni mahakama tu ndio inaruhusiwa
 
Back
Top Bottom