Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Tafuna lakini usimeze aaahsisi waafrika hadi muda huu mutu amefikisha miaka 35 lakini inawezekana amejaza pipa ndio maana wengi wetu tunazeeka na kufa mapena na kutokuendelea.
Kuna kitabu nilisoma kinasema sex bila kumwaga inawezekana..
Je, kweli sisi Afrika ukidumbukiza tu utaweza ku control hisia?
Kuna faida nyingi sana kuliko kumwaga kutapanya
Wapi min -me