Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooohh!! Shkran saana kwa ushauri vipi lakn ni kozi nzuri katika kijiaji ama kuajiliwa? Na mkemia anafanya KAZI gani hasa na sehem zipii ???🙏🙏hapana hio sio ualimu wala haihusiani kabisa na ualimu, bali hiyo huku mtaani tutakuita Mkemia..
Ni kozi nzuri maana unafanya kazi kama Mkemia. Hata serikalini mshahara wake Ni kama Phamacist.Oooohh!! Shkran saana kwa ushauri vipi lakn ni kozi nzuri katika kijiaji ama kuajiliwa? Na mkemia anafanya KAZI gani hasa na sehem zipii ???🙏🙏
Shkrani saaana bro kwa ushauri!! Nazid kuelewa vipi field zake wanafanya sehem zipi??Ni kozi nzuri maana unafanya kazi kama Mkemia. Hata serikalini mshahara wake Ni kama Phamacist.
Tatizo kubwa hakuna ajira za moja kwa moja, utasota Sana unless kama una Network.
Wakati wa kusota possibly utakua unapiga teaching
Viwandani, kwa Mkemia Mkuu wa serikaliShkrani saaana bro kwa ushauri!! Nazid kuelewa vipi field zake wanafanya sehem zipi??
Kozi zote ni nzuri sana nenda kasome tu kijana yoyote ile.Lakini pia nilikua naomba ushauri wa hizi kozi mbili nilizo chaguliwa yaaan nimechaguliwa 1;WATER INSTITUTE kozi ya water resources and irrigation engineering LAKINI PIA 2;; UDOM .... Bachelor of science in chemistry ndo nipo njiapanda ni kozi gani nichukie ama nichague nataguliza shkrani naombeni ushauri kwa wanaojua na MUNGU awabariki ndugu zanguView attachment 2332841
Tafadhal hapa naomba nikurekebishe kdg,Ni kozi nzuri maana unafanya kazi kama Mkemia. Hata serikalini mshahara wake Ni kama Phamacist.
Tatizo kubwa hakuna ajira za moja kwa moja, utasota Sana unless kama una Network.
Wakati wa kusota possibly utakua unapiga teaching
Me naona kapige tu Water Mzee, Sorry lakini hiyo Ukemia na tz yetu hii kama siielewi elewi.Samahan series za breaking bad nd zipi? Samahan lakn
Navojua inabamba zaidi ukizoma Bch of science in Chemistry with education. Maanake unaeza kuajiliwa as Mwalim Mkemia. Lakini ikiwa Kemia kama kemia bila ualim inasumbua.Samahan series za breaking bad nd zipi? Samahan lakn
Kuna course naionaga DUCE, Lab science with education. Hao ndo wakemia wa mashuleni. Pia kuna Science in Chemistry with education hawa pia ni wakemia wa mashulen.Ukemia; utafanya kazi shuleni, au maabara. Uta graduate kama mbobezi wa kemia
Shkran saana bro!!!! Kwa ushauriMe naona kapige tu Water Mzee, Sorry lakini hiyo Ukemia na tz yetu hii kama siielewi elewi.
Koooo hiiii course ya Bachelor in chemistry ina fit wapii Sasa. Hass aniiiii!?Kuna course naionaga DUCE, Lab science with education. Hao ndo wakemia wa mashuleni. Pia kuna Science in Chemistry with education hawa pia ni wakemia wa mashulen.