Sikuhizi tunasoma tuu aise, nyingi hapo juu ni porojo. Kuhusu kemia sina neno lolote la kukushauri kama utakuw na mentality ya kutaka kujiriwa ila kama wataka ujiajiri soma ni kozi nzuri sana kwa mtu anaejitambua sana sana na niraha kuisoma. Kuhusi hiyo koz ya maji sjui lolote kabisa ko sitachangia.
Nimalize kwa kusema ninarafiki kamaliza u dom hiyo koz ya kemia na kamaliza 2018 hana ajira mpka sasa. Nazan kama utahitaji namba yake ntakupatia umuulize yeye binafsi.
Note, humu tupo wengi na sio wote wanajua wanacho shauri ila kwa kusikia tu na kutaka kuongeza likes kwenye komet zao. Hivyo nakupongeza piah kwa kutaka kujua kabla hujasomea ila pia ntakupongeza kama hauta msikiliza kila mtu ila kwa kufanya research ndogo tuu. Ahsante
Sent using
Jamii Forums mobile app