- Thread starter
- #21
Vp nd umechaguliwa hiiii????Je bachelor of science in physics yenyewe ajira zake zipoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp nd umechaguliwa hiiii????Je bachelor of science in physics yenyewe ajira zake zipoje?
kwa ushauri tu kijana piga irrigation hutojutia sana, ila hiyo chemistry asikudanganye mtu ni kisanga ukimaliza otherwise usome unaipenda tu au hauna haja ya ajira baadae...Samahan pia wadau wangu mm pia nmechaguliwa vyuo viwili yaan 1;;; WATER INSTITUTE kozi ya water resources and irrigation engineering lakini pia 2! UDOM kozi ya Bachelor of science in chemistry...................naimani nitapata ushauri mzuri katika kozi ipi nisome naombeni ushauri ndugu zangu nataguliza shkrani saaana
Asanteh saana mkuuukwa ushauri tu kijana piga irrigation hutojutia sana, ila hiyo chemistry asikudanganye mtu ni kisanga ukimaliza otherwise usome unaipenda tu au hauna haja ya ajira baadae...
Ukiona Course yoyote inataja Somo bila education ujue ushapigwa maana inakua ishakupunguzia wigo wa ajira. Kama ni Physics/Chemistry with education akapige ila kama imestand alone aachane nayo.kwa ushauri tu kijana piga irrigation hutojutia sana, ila hiyo chemistry asikudanganye mtu ni kisanga ukimaliza otherwise usome unaipenda tu au hauna haja ya ajira baadae...
Ndo yale yale Mkuu. Kama vp c uombe tu engineering zingine au education pure kabisa kama hujaipenga hiyo Water/Irrigation.Je bachelor of science in physics yenyewe ajira zake zipoje?
Shkran saaana bro nazidi kuelewaUkiona Course yoyote inataja Somo bila education ujue ushapigwa maana inakua ishakupunguzia wigo wa ajira. Kama ni Physics/Chemistry with education akapige ila kama imestand alone aachane nayo.
Huo ukemia wanaousemea c ndo huo Wanausoma watu wa BLS pale SUA na MUST tena wale wananafasi kubwa zaidi. **** anapenda ukemia akapge Laboratory science with Biotechnology ipo SUA.
Mkemia hauna taarifa zake za kutosha nakusihi uzitafuteTafadhal hapa naomba nikurekebishe kdg,
Kuhusu mshahara wake ni kama Pharmacist, SI KWELI!
Degree kozi ya Pharmacy (Bpharm) ni 4 yrs + 1 yr internship, na koz ya Chemistry ni 3 yrs kama sijakosea, hapo pekee washatofautiana kwenye mshahara.
Then Bpharm ni ipo category ya Afya ktk ngaz ya mshahara hiyo ni nje ya afya, so tayar gap la mshahara hapo pia!
Ingawa zote zote zimejikita ktk chemistry lakin hazifanan ktk applications ni vitu viwili tofauti!
Karbu.Shkran saaana bro nazidi kuelewa
Tatizo kubwa la Waswahili huwa mnatengeneza vitu kichwani na vijisababu vyenu visivyo na kichwa Wala miguu halafu mnaanza kuviamini kama dini.Tafadhal hapa naomba nikurekebishe kdg,
Kuhusu mshahara wake ni kama Pharmacist, SI KWELI!
Degree kozi ya Pharmacy (Bpharm) ni 4 yrs + 1 yr internship, na koz ya Chemistry ni 3 yrs kama sijakosea, hapo pekee washatofautiana kwenye mshahara.
Then Bpharm ni ipo category ya Afya ktk ngaz ya mshahara hiyo ni nje ya afya, so tayar gap la mshahara hapo pia!
Ingawa zote zote zimejikita ktk chemistry lakin hazifanan ktk applications ni vitu viwili tofauti!
Embu tupe ya manesi na madaktari.salary zao.Tatizo kubwa la Waswahili huwa mnatengeneza vitu kichwani na vijisababu vyenu visivyo na kichwa Wala miguu halafu mnaanza kuviamini kama dini.
Hicho ulichoandika hata ukiulizwa umekitoa kwenye mwongozo upi huna.
Hapana sijachaguliwa ....Mimi n mwalimu ila nataka niachane na ualimu ndo natafuta Chaka .. masomo yangu ni physics na biologyVp nd umechaguliwa hiiii????
Oooooohh okay poaa tuwasikilize watalamHapana sijachaguliwa ....Mimi n mwalimu ila nataka niachane na ualimu ndo natafuta Chaka .. masomo yangu ni physics na biology
Apoooo kweli ujueee mara nying umuu ndan tunakatishwa tamaa na watu ambao unakuta anakupa ushauri kweny kitu ambachohata yy mwenyew hakjuii ataaaa hiii inakua sawa na jambo usilolijua ni sawa na usk wa giza...........ila kumbe ukikutana na watalam wanakupanua akili zaidMnaoipinga chemistry nahis hamuijui vizur
Soma bro ajira zipo ixo education zinatok kwa msimu View attachment 2335008View attachment 2335009
Usijichanganye ukapiga education utalia saiv walimu ni wengi mno....piga kitabu min gpa 3.8 ukosi ajira labd Kam mtu ana 2.6 kazi Kam iyo huwez pataApoooo kweli ujueee mara nying umuu ndan tunakatishwa tamaa na watu ambao unakuta anakupa ushauri kweny kitu ambachohata yy mwenyew hakjuii ataaaa hiii inakua sawa na jambo usilolijua ni sawa na usk wa giza...........ila kumbe ukikutana na watalam wanakupanua akili zaid
Nmechaguliwa iyo bachelor of science in chemistry udomUsijichanganye ukapiga education utalia saiv walimu ni wengi mno....piga kitabu min gpa 3.8 ukosi ajira labd Kam mtu ana 2.6 kazi Kam iyo huwez pata