Je, shahada ya sayansi katika Kemia ni ualimu?

Oooohh!! Shkran saana kwa ushauri vipi lakn ni kozi nzuri katika kijiaji ama kuajiliwa? Na mkemia anafanya KAZI gani hasa na sehem zipii ???🙏🙏
Ni kozi nzuri maana unafanya kazi kama Mkemia. Hata serikalini mshahara wake Ni kama Phamacist.

Tatizo kubwa hakuna ajira za moja kwa moja, utasota Sana unless kama una Network.

Wakati wa kusota possibly utakua unapiga teaching
 
Mkuu ni kozi nzuri tu kusomea ila I doubt kwa hapa nyumbani kama itakusaidia sana, ila kwenye first world countries ni lulu, pamoja kuwa uta end up as academician hasa ukifikia level ya phD.

Pia unaweza ajiriwa kwenye medicines manufacturers, kwenye foresinc investigation, Lab, kwenye Tafiti mbalimbali pia unaweza to specialise in Nano science, Germany ni nchi nzuri ya kusomea chemistry na hapa Africa SA na Botswana wapo Safi,Good luck
 
Ni kozi nzuri maana unafanya kazi kama Mkemia. Hata serikalini mshahara wake Ni kama Phamacist.

Tatizo kubwa hakuna ajira za moja kwa moja, utasota Sana unless kama una Network.

Wakati wa kusota possibly utakua unapiga teaching
Shkrani saaana bro kwa ushauri!! Nazid kuelewa vipi field zake wanafanya sehem zipi??
 
Lakini pia nilikua naomba ushauri wa hizi kozi mbili nilizo chaguliwa yaaan nimechaguliwa 1;WATER INSTITUTE kozi ya water resources and irrigation engineering LAKINI PIA 2;; UDOM .... Bachelor of science in chemistry ndo nipo njiapanda ni kozi gani nichukie ama nichague nataguliza shkrani naombeni ushauri kwa wanaojua na MUNGU awabariki ndugu zangu
 
Samahan pia wadau wangu mm pia nmechaguliwa vyuo viwili yaan 1;;; WATER INSTITUTE kozi ya water resources and irrigation engineering lakini pia 2! UDOM kozi ya Bachelor of science in chemistry.

Naimani nitapata ushauri mzuri katika kozi ipi nisome naombeni ushauri ndugu zangu nataguliza shkrani saaana
 
Kozi zote ni nzuri sana nenda kasome tu kijana yoyote ile.
 
Ni kozi nzuri maana unafanya kazi kama Mkemia. Hata serikalini mshahara wake Ni kama Phamacist.

Tatizo kubwa hakuna ajira za moja kwa moja, utasota Sana unless kama una Network.

Wakati wa kusota possibly utakua unapiga teaching
Tafadhal hapa naomba nikurekebishe kdg,
Kuhusu mshahara wake ni kama Pharmacist, SI KWELI!

Degree kozi ya Pharmacy (Bpharm) ni 4 yrs + 1 yr internship, na koz ya Chemistry ni 3 yrs kama sijakosea, hapo pekee washatofautiana kwenye mshahara.

Then Bpharm ni ipo category ya Afya ktk ngaz ya mshahara hiyo ni nje ya afya, so tayar gap la mshahara hapo pia!

Ingawa zote zote zimejikita ktk chemistry lakin hazifanan ktk applications ni vitu viwili tofauti!
 
Je bachelor of science in physics yenyewe ajira zake zipoje?
 
Kuna course naionaga DUCE, Lab science with education. Hao ndo wakemia wa mashuleni. Pia kuna Science in Chemistry with education hawa pia ni wakemia wa mashulen.
Koooo hiiii course ya Bachelor in chemistry ina fit wapii Sasa. Hass aniiiii!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…