Je, shahada ya sayansi katika Kemia ni ualimu?

Shkran saana bro kwa mchango wako mzuri unaweza nisaidia namba ya huyo rafiki ako ili anisaidie kujua kiundani zaid assseee
 
Hellooo mkuu waweza Nipa namba qke
 
Oooohh!! Shkran saana kwa ushauri vipi lakn ni kozi nzuri katika kijiaji ama kuajiliwa? Na mkemia anafanya KAZI gani hasa na sehem zipii ???[emoji120][emoji120]
Wewe unataka kufanya nini na maisha yako baada ya kumaliza elimu ya juu?!

Kama shida yako ni kupata pesa achana na shule njoo kitaa upate mbinu.

Kama unatafuta professional ya kuwa katika industry unayopenda then why unapata shida kujua unatakiwa kupenda kusoma masomo ya taaluma ipi?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda irrigation engineering dogo, usijejuta badae..
 
Hiiii mtu anafanya KAZI wapi haswaaa??
-Mamlaka za maji za miji mfano DAWASA,MWAUWASA n.k
-Mamlaka ya maji vijijini (RUWASA)
-Mamlaka za mabonde ya maji mfano Wami-Ruvu, bonde la pangani, bonde la ziwa Victoria n.k
-Wizara ya kilimo kama irrigation engineer
-Water engineer kwenye kampuni zinazochukua kandarasi ya kutekeleza miradi ya maji.
Kwa uchache ni hivo
 
Oooohh!! Shkran saana kwa ushauri vipi lakn ni kozi nzuri katika kijiaji ama kuajiliwa? Na mkemia anafanya KAZI gani hasa na sehem zipii ???[emoji120][emoji120]

Mkuu hautakiwi kuwaza hivyo kwamba katika kujiajili ama kuajiliwa inaonekana hauna malengo yoyote na hiyo course.wala hauipendi chagua kozi ambayo unayoipenda sana ukipenda kitu kufanikiwa ni rahisi sana maana muda mwingi utakuwa unaisoma nakuifatilia.

Ukipenda unachokifanya lazima utafanikiwa tu lakini ukisoma kufata pesa ukimaliza hapo utalalamika ajira hakuna.

Wewe likizo uko kitaa tu unapumzika na kula bata anaependa chemistry lazima aende kujitolea kwenye kiwanda cha mji hata wasipomlipa kwa sababu anapenda chemistry hawezi kukaa tu kusubiria nirudi chuo mpaka mwalimu afundishe ndio nisome.

Kitu kinachomsumbua tu kwenye chemistry lazima akijue anakifatilia.

Sasa mtu kama huyo lazima apate kazi tu maana akiongea tu unajua huyu anatufaa.


Haya ya kwagu haya hapa hiyo course unaweza kufanya kazi TBS(shirika la viwango Tanzania) ,TBS Unaijua bila shaka.

Unaweza kufanya kazi kwenye viwanda vya maji siku hizi kuna viwanda kibao vya maji.

Unaweza kuwa mwalimu somo la chemistry wa kufundisha darasani au Mwalimu wa practical zile za somo la chemistry kwenye shule hizo lazima uombe kazi hizo haupangiwi kama walimu wengine(hapo zamani)

Na utaweza kupata nafasi ya kwenda kusaisha mitihani ya chemistry ya kitaifa maana wewe ni mtaalamu wa chemistry.

Kama utaweza unaweza pia kuuza chemicali.
Gundua chemicali zako kama wakina marie curie.

Tengeneza kilevi chako au kinywaji chako.
 
One of the best ..... ushauri wako nmeukubali saana bro salute kwakoo
 
Kuna mtu namjua pia kamaliza iyo iyo 2018 na anafany kazi kwa mkemia mkuu....so kila mtu ana bahat yake na hakukaa mtaan ata miez sita
 
Yenye nafuu kwa hali ilivyo ni hiyo ya chuo cha maji. Japo ni ngumu kujiajiri ila wataalam wa maji nchini bado serikali inawahitaji.

Pia kama ikifaa kuliko ukasome hiyo kozi ya chuo cha maji nenda sua wana kozi kama hiyo ambapo mwisho wa siku wote wanaishia kwenye irrigation na sekta ya maji!

NB: Ningekushauri uangalie na kozi za chuo ardhi. Hasa architecture.
 
kwa ushauri tu kijana piga irrigation hutojutia sana, ila hiyo chemistry asikudanganye mtu ni kisanga ukimaliza otherwise usome unaipenda tu au hauna haja ya ajira baadae...
Kama anataka pure irrigation aende SUA hiyo ya chuo cha maji irrigation inasomwa kidogo sana.
 
Unasoma ili uajiliwe!???? Acha kukalili maishaaa soma upate taaluma sio kuajiliwa nyiee nd mnakatisha tamaa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…