mashoodjr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2016
- 2,222
- 1,509
Heshimu imani za watu Mkuu
Mada yako sio poa
Mie Mkristu hii si poa
Ujue faida na hasara ili iweje?
Tatizi manaishi banana republic kila kitu kina planning sio kukurupuka tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshimu imani za watu Mkuu
Mada yako sio poa
Mie Mkristu hii si poa
Ujue faida na hasara ili iweje?
Kichwani kwako hakuko poaTuko hapa Kujifunza na pia Kutengeneza Mijadala yenye Tija ili tupate Ufahamu zaidi.
Krav Maga sijaanzisha Mada hii kama Kuwakashifu Wahusika kama ambavyo damn Fool Wewe uwazavyo.
Hivi na wale ambao huwa wanaanzisha Mada hapa za Kuhoji yanayotendeka kwa Wakristo ( hasa Makanisani na Madhabahuni pia ) huwa wanakuwa na Chuki na wenye hiyo Imani?
Tatizo la baadhi yenu hapa mna Upumbavu wa Kurithishwa katika Koo zenu kiasi kwamba Mada ikianzishwa tu mnashindwa kutafuta Logic ndani yake na Kukimbilia katika Upuuzi wenu na kutaka kuleta Hisia za Chuki.
Wenye Akili kubwa na pana nina uhakika wataelewa dhana Kuu na Fikirishi juu ya nilichokihoji na sijaanzisha Mada hii ili kuwakera wenye Imani hiyo na atakayewaza hivyo nae atakuwa ni Juha kama Wewe.
Ndio tatizo lenu BAKWATA, badala ya kujibu hoj mnaanza matusi, bora Answar soon wanajielewa.Umetoroka lini Hospitali ya Wagonjwa wa Akili ya Mirembe Mkoani Dodoma Ndugu?
Dada mbona una mipasho sana?Tuko hapa Kujifunza na pia Kutengeneza Mijadala yenye Tija ili tupate Ufahamu zaidi.
Krav Maga sijaanzisha Mada hii kama Kuwakashifu Wahusika kama ambavyo damn Fool Wewe uwazavyo.
Hivi na wale ambao huwa wanaanzisha Mada hapa za Kuhoji yanayotendeka kwa Wakristo ( hasa Makanisani na Madhabahuni pia ) huwa wanakuwa na Chuki na wenye hiyo Imani?
Tatizo la baadhi yenu hapa mna Upumbavu wa Kurithishwa katika Koo zenu kiasi kwamba Mada ikianzishwa tu mnashindwa kutafuta Logic ndani yake na Kukimbilia katika Upuuzi wenu na kutaka kuleta Hisia za Chuki.
Wenye Akili kubwa na pana nina uhakika wataelewa dhana Kuu na Fikirishi juu ya nilichokihoji na sijaanzisha Mada hii ili kuwakera wenye Imani hiyo na atakayewaza hivyo nae atakuwa ni Juha kama Wewe.
Aliyekuzaa pia ndiyo hakuko poa kabisa.Kichwani kwako hakuko poa
Bado upo pale pale tu: Science vs Maagizo!Point inayowakaba hapa ni kwa nini, muda wa saudia na hapa bongo ni mmoja lakini wao wanaanza kufungua wakati nyie hamfungui? Naandika hii post saa 2 kamili. Na pale jeddah ni saa mbilo kamili. Kwa nini wale wanafungua hawa wa BAKWATA hawafungui?
Nisaidie hapo.
@Chige nakubaliana na maelezo yako, ila kitu kimoja hao Ansaar Sunna na wengine wanaofuata muandamo wa Saudi Arabia wengi wao hawaelewi msimamo wa Saudi Arabia ni kwamba kila nchi inatakiwa ifuate muandamo wake , wao Saudi hawawezi hata siku moja kufuata muandamo wa nchi nyingine waliouona kabla yao, na sio kama hawaamini bali wanasema ni kinyume na mafundisho ya kidini..Bado upo pale pale tu: Science vs Maagizo!
Kama nilivyosema, mafundisho yanasema “Fungeni kwa kuonekana mwezi na fungueni kwa kuonekana mwezi na kama hamjauona, kamilisheni siku 30"!
Mafundisho hayajataja mambo ya Saudi Arabia, Mecca, Madinna wala suala la "masaa" kuwa sawa! Kwani Mtume hakufahamu role ya Saudi Arabia kwenye masuala ya imani?
Na hata wanaotumia mwandamo wa Saudi Arabia, sijawahi kusikia wakitoa argument ya kufanana masaa! Watu watafuata ama mwandamo wa Saudi Arabia au mwandamo wa maeneo yao/na majirani!
Halafu soma hii Tweet:-
View attachment 1782827
Kama hoja ni mwezi mmoja, kwanini Surpreme Court iwatake Waislamu wa Saudi Arabia peke yake na isiwatake Waislmu kote duniani?!
Ukiitafakari hiyo kauli kwa makini, utagundua hata Saudi Arabia na wenyewe "...wanafunga na kufungua kwa kuuona mwezi kwenye eneo lao, au maeneo ya jirani (gulf) na sio kwingine kokote kule"
And be informed kwamba, Saudi Arabia wanategemea sana astronomical calculations kuliko kuuona mwezi kwa macho, na hivyo tayari wanakuwa na kalenda yao inayoitwa The Umm al-Qura Calendar.
Angalia hii kalenda yao hapa chini:-
View attachment 1783004
Hapo juu nilipozungushia RED, ndo tarehe ya leo kwa kutumia astronomical calculation wanazofanya!!
Hapo chini nilipozungushia blue, ni siku ya Eid mwaka 2029... yaani miaka 9 ijayo, kwamba, kwa kutumia mahesabu yao, mwaka 2029 Eid itakuwa February 14, 2029, kwa maana nyingine mwezi utaonekana February 13.
Watachofanya ni kwamba, ikifika February 12, 2029, wataanza kuutafuta mwezi kwa macho na kwa darubini! Wakiuona, hiyo tarehe itabadilika; wasipouona kwa macho wala darubini, wataendelea kutumia hiyo tarehe waliyoandika hapo!
Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu! Nilishawahi kufanya kazi eneo lenye Waislamu wengi na walikuwa wanatumia hiyo The Umm al-Qura Calendar. Kwa miaka 4 niliyokuwa pale, Siku za Eid na kuanza kufunga ziliendana na kalenda ya Saudi Arabia!
But that is another case kwa sababu suala la The Umm al-Qura Calendar au fixed calendar halijatajwa popote kwenye Quran wala Hadith. Na ingawaje mataifa kadhaa ya Ghuba hutumia hiyo kalenda, kuna wengine hawakubaliani na hizo calculations!
Isitoshe, hata hao Saudia walianza kutumia huo mfumo kutokana na maendeleo ya unajimu, na sio kwamba tangu enzi hizo walikuwa wanatumia huo mfumo!
Watu wanachotakiwa kujua kwamba saudia msimamo wao ni mwezi wa kitaifa na sio mwezi wa kimataifa.Chige nakubaliana na maelezo yako, ila kitu kimoja hao Ansaar Sunna na wengine wanaofuata muandamo wa Saudi Arabia wengi wao hawaelewi msimamo wa Saudi Arabia ni kwamba kila nchi inatakiwa ifuate muandamo wake , wao Saudi hawawezi hata siku moja kufuata muandamo wa nchi nyingine waliouona kabla yao, na sio kama hawaamini bali wanasema ni kinyume na mafundisho ya kidini..
Hili la kutumia teknolojia kutafuta mwezi mimi naliafiki kwa sababu hata mtume angekuepo angeliitumia hii teknolojia.Bado upo pale pale tu: Science vs Maagizo!
Kama nilivyosema, mafundisho yanasema “Fungeni kwa kuonekana mwezi na fungueni kwa kuonekana mwezi na kama hamjauona, kamilisheni siku 30"!
Mafundisho hayajataja mambo ya Saudi Arabia, Mecca, Madinna wala suala la "masaa" kuwa sawa! Kwani Mtume hakufahamu role ya Saudi Arabia kwenye masuala ya imani?
Na hata wanaotumia mwandamo wa Saudi Arabia, sijawahi kusikia wakitoa argument ya kufanana masaa! Watu watafuata ama mwandamo wa Saudi Arabia au mwandamo wa maeneo yao/na majirani!
Halafu soma hii Tweet:-
View attachment 1782827
Kama hoja ni mwezi mmoja, kwanini Surpreme Court iwatake Waislamu wa Saudi Arabia peke yake na isiwatake Waislmu kote duniani?!
Ukiitafakari hiyo kauli kwa makini, utagundua hata Saudi Arabia na wenyewe "...wanafunga na kufungua kwa kuuona mwezi kwenye eneo lao, au maeneo ya jirani (gulf) na sio kwingine kokote kule"
And be informed kwamba, Saudi Arabia wanategemea sana astronomical calculations kuliko kuuona mwezi kwa macho, na hivyo tayari wanakuwa na kalenda yao inayoitwa The Umm al-Qura Calendar.
Angalia hii kalenda yao hapa chini:-
View attachment 1783004
Hapo juu nilipozungushia RED, ndo tarehe ya leo kwa kutumia astronomical calculation wanazofanya!!
Hapo chini nilipozungushia blue, ni siku ya Eid mwaka 2029... yaani miaka 9 ijayo, kwamba, kwa kutumia mahesabu yao, mwaka 2029 Eid itakuwa February 14, 2029, kwa maana nyingine mwezi utaonekana February 13.
Watachofanya ni kwamba, ikifika February 12, 2029, wataanza kuutafuta mwezi kwa macho na kwa darubini! Wakiuona, hiyo tarehe itabadilika; wasipouona kwa macho wala darubini, wataendelea kutumia hiyo tarehe waliyoandika hapo!
Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu! Nilishawahi kufanya kazi eneo lenye Waislamu wengi na walikuwa wanatumia hiyo The Umm al-Qura Calendar. Kwa miaka 4 niliyokuwa pale, Siku za Eid na kuanza kufunga ziliendana na kalenda ya Saudi Arabia!
But that is another case kwa sababu suala la The Umm al-Qura Calendar au fixed calendar halijatajwa popote kwenye Quran wala Hadith. Na ingawaje mataifa kadhaa ya Ghuba hutumia hiyo kalenda, kuna wengine hawakubaliani na hizo calculations!
Isitoshe, hata hao Saudia walianza kutumia huo mfumo kutokana na maendeleo ya unajimu, na sio kwamba tangu enzi hizo walikuwa wanatumia huo mfumo!
Suala la kufuata mwezi wa kuonekana popote ndugu yangu hiyo takliif / usumbufu mkubwa kwa waumini, yaani ukae usiku kucha mpaka alfajiri kusubiria taarifa za nchi zilizoko magharibi kijiografia Amerika ya Kaskazini na Kusini nao walete updates zao ndio sasa itoke tamko kwamba mwezi haujaonekana, hii kwenye dini haikubaliki , maana kule pia zipo taasisi za Kiislam zinazofuatilia miandamo ya miezi.Watu wanachotakiwa kujua kwamba saudia msimamo wao ni mwezi wa kitaifa na sio mwezi wa kimataifa.
Wana haki kwa sababu kuna ikhtilaafu za wanazuoni juu ya hili kuna wanaosema mwezi ukionekana popote mtu ufunge,wengine wanasema angalia kwenye nchi yako.
Saudia wanafuata kauli ya nchi yao tu,hili watu walifahamu na wale jamaa wamejitosheleza wanautafuta mwezi kwa juhudi zote sio kama hapo kenya jana umeonekana kadhi anakataa matokeo yake wale watu wengine waliokuwa na kadhi wakagawanyika wakasali leo wengine kesho.
Sina maana kuwa hatumfati mufti kwa saba bu hawana mitambo kama saudia laa ,hyo nimemaanisha jamaa hawana upinzani na ile ushabiki baina yao
Hii ya kwamba viongozi wetu wanafuata ushabiki ushabiki sanaa kuliko kuwa na jitihada za juu ndilo linafanya akina sisi tufuate mwezi wa popote pale.
Lakini pia nikujulishe kuwa sisi tunaofungua hatufuati saudia kwa sababu ni saudia,tunafuata saudia endapo utaonekana hapo..
Kuna mwaka kama sikosei saudia haukuonekana lakini tukapishana nao watu wakaongea sana kwamba mbona wametofautiana na saudia,kwani nani kasema tunawafata saudia sie.
Kwa hvyo nikukumbushe tu kuwa hatuwafati saudia kwa sababu ya usaudia wapo,bali tunacgofata ni kuonekana mwezi hata isiwe huko tutafata popote maadamu TAARIFA IMEKUJA KWA WAKATI.
Umesema sawa kabisa...@Chige nakubaliana na maelezo yako, ila kitu kimoja hao Ansaar Sunna na wengine wanaofuata muandamo wa Saudi Arabia wengi wao hawaelewi msimamo wa Saudi Arabia ni kwamba kila nchi inatakiwa ifuate muandamo wake , wao Saudi hawawezi hata siku moja kufuata muandamo wa nchi nyingine waliouona kabla yao, na sio kama hawaamini bali wanasema ni kinyume na mafundisho ya kidini..
Jingine kwa faida ya wengine, mwenye mamlaka ya kutangaza mwezi kama umeonekana au la ni Kiongozi wa dini katika nchi husika na sio kila mtu ajitangazie tu kiholela.
Naam vizuri umesema ni yr opinion.best bet in my opinion..
Wallahu aalam.
Hili la kuepuka usumbufu ndio lilimfanya hata kadhi wa kenya jana usiku kukataa taarifa za mwezi.Suala la kufuata mwezi wa kuonekana popote ndugu yangu hiyo takliif / usumbufu mkubwa kwa waumini, yaani ukae usiku kucha mpaka alfajiri kusubiria taarifa za nchi zilizoko magharibi kijiografia Amerika ya Kaskazini na Kusini nao walete updates zao ndio sasa itoke tamko kwamba mwezi haujaonekana, hii kwenye dini haikubaliki , maana kule pia zipo taasisi za Kiislam zinazofuatilia miandamo ya miezi.
Hatujaamua kufuata ndio maana tunaona shida.Imagine watu wako Japan au Australia nao wafuatilie mwezi wa kimataifa ilhali wako masaa mengi mbele yetu itakuaje hapo ?
Sina shaka Mtume angetumia teknolojia tajwa lakini nina mashaka endapo angehamasisha suala la "mwezi wa kimataifa"!Hili la kutumia teknolojia kutafuta mwezi mimi naliafiki kwa sababu hata mtume angekuepo angeliitumia hii teknolojia.
Kama ambavyo angekuwepo angeitumia simu.
.kama ambavyo amgekuwepo angetumia gari badala ya farasi.
Kama ambavyo angekuwepo badala ya kutumia nguo angetumia feni kupata upepo.
Sasa teknolojia itumike katika mambo haya
Watu inatakiwa waelimishwe kuwa tunaofungua leo hatuwafati saudia kama saudia,tunafata saudia ikiwa utaonekana,pia tutafata kwingine ikiwa utaoneka a.Umesema sawa kabisa...
BInafsi nakumbuka kabisa tamko hilo la Saudi Arabia kuziambia kila nchi ziangalie mwandamo wake, lakini nimeshindwa kuweka hapa, kwa sababu nimetafuta ile reference, nikakosa ndo maana nikaamua tu kuweka hiyo tweet ambayo watu wanaweza kutumia common sense kufahamu ikiwa Saudi Arabia wao wanaangalia miandamo ya maeneo mengine!!
Hapa Afrika Mashariki mwezi umeonekana wapi?! Najua wapo wanaodai eti kuna watu pale Kenya walienda kushuhudia msikitini na Kadhi akakataa!! Kadhi ama Mufti alikataa kwa manufaa ya nani?! Na hao waliouona waliuona pande ipi ya Kenya!Watu inatakiwa waelimishwe kuwa tunaofungua leo hatuwafati saudia kama saudia,tunafata saudia ikiwa utaonekana,pia tutafata kwingine ikiwa utaoneka a.
Sasa mnapoanza kusema saudia wamesema hivi ama vilee ni kana kwamba mnaewa ndivyo sivyo kwa sababu kinachofuatwa ni watu wanachokiona sawa hata kifanyike omani au saudia.
Utajisumbua bure kutafuta ushahidi kwa sababu sisi twafahamu zamani sana kwamba saudia wanasema watu wafunge na nchi zao.
Lakini katika saula hili la kifiqh saudia atabaki mshauri tu kama ambavyo wasaudia wengi wanakataza maulidi lakini huku watu wanafanya kwa sababu saudia sio kwamba ni nchi inayomkinaisha kila mtu kwa hoja na dalili.
Jambo hili kulifahamu ni muhimu sana.
Mtume tokea zamani alithamini sana taarifa ya mwezi anayopata.nina mashaka endapo angehamasisha suala la "mwezi wa kimataifa"!
Ukisema hivi maana yake unakusudia hata huo mwezi mtume angesema tufunge kimataifa.Leo hii duniani kote wakati wa kusali, Waislamu wanaelekea Kibra kwa sababu ndivyo mafundisho yanavyosema!
Lakini na pia lau pangekuwa na umuhimu wa mwezi wa kitaifa basi mtume mafundisho hayo angeyatoa tu.Lau kama pangeonekana umuhimu wa "mwezi wa kimataifa" basi mafundisho hayo angeyatoa tu... kwamba, kwa mfano "Waislamu fungeni na fungueni kwa kufuata Mji Mtakatifu" or anything like that!
Watu ambao walikuwa jana pamoja na mufti wa kenya kutafuta taarifa za mwezi wamethibitisha kuwa ndugu zao wameuona kwa ushahidi wa ip hapa ninazo juu ya huyo mtu ambaye alimfata mpaka kadhi wa kenya nyumbani kwake kadhi akakataa.Hapa Afrika Mashariki mwezi umeonekana wapi?! Najua wapo wanaodai eti kuna watu pale Kenya walienda kushuhudia msikitini na Kadhi akakataa!! Kadhi ama Mufti alikataa kwa manufaa ya nani?! Na hao waliouona waliuona pande ipi ya Kenya!
Muda mrefu nimeomba reliable source inayosema huko Kenya kuna watu waliuona mwezi lakini wakakataliwa, lakini hadi sasa sijapata hiyo source!!
All in all, binafsi sina tatizo na yule anayeamua kufuata mwezi unaoonekana popote pale duniani, au yule anayeamua kufuata locally sighted moon!!
Nani kasema anafata africa mashariki tu mkuu mpaka usemee africa mashariki tu ?Hapa Afrika Mashariki mwezi umeonekana wapi?
Huyo mufti mwenyewe hafati locally sighted moon.kufuata locally sighted moon!!
Tutafunga wka kutimiza siku 30.hivi ikitokea mbalamwezi ukahama kwenye mhimili wake, au ukageuka black hole je waislam watafunga kwa ishara gani