Kuna yule Eric Kabendera aliyekamatwa na CCM wakati Magufuli kwa kosa la "uhujumu uchumi", mama yake mzazi alifariki hakuruhusiwa kumzika.
Nadhani hata Lissu hataruhusiwa, ila ndugu wanatafuta namna ya kuahirisha mazishi hadi baada ya hukumu kwa matumaini kwamba ataachiwa huru!