Je, shetani yupo? Anaishi wapi?

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,385
Reaction score
10,659
Ni dhahiri asilimia kubwa ya wanaofanya makosa huyahusianisha na kitu kisichoonekana na kinachokinzana na Mungu kiitwacho shetani. Je, shetani kweli yupo? Anaishi mazingira yapi na kwa nini Mungu anashindwa kumdhibiti ili binadamu waishi kwa ustaarabu na kutotenda dhambi kabisa? Je, nani anaweza kuzithibitisha theologies za huyo shetani kiumbo, mtazamo, mnyumbuliko na kiakili bila kuhusianisha imani?

Learning has no boundaries......
 
Ndio shetani wapo wanaishi hapahapa duniani wanapatikana milimani, kwenye magofu, sehemu za majalala na kwengineko ndio ameachwa Mungu km nimtihan kwa binaadamu.

Kudhibitisha bila vitabu vya dini ni ngumu kwa sababu ndo kwenye evidence tosha.

Kinyume na hapo utadanganywa karibu simba wanga, Tanga , kilwa migodini na pemba utapata jibu kwa kuwahisi, kuwaona na maskan zao utaskia njia flan usipite ikifika jion.
 
shetani anaumbo na anaakili kama wewe na anakaa katika watu kama hauna Mungu basi ujue unashetani ndani yako! anakaaje mtafute Mungu atakuonyesha shetani anakaaje ndani ya binadamu! huyo shetani makao yao ya kukutania au makao makuu ni kuzimu lakini makao ya kufanyia kazi ni duniani!
 
Huwezi kumzungumzia shetani pasina kuhusisha imani may b ungesema kila mtu amzungumzie shetani kwa imani yake.
 
Anaonekanaje physically. M_describe ili tupate mwanga
 
Anaishi baharini ndio makazi yake, Katikati ya Atlantic Ocean. According to clip nliyowahi kusikia ya mkenya mmoja alifikia huko chini akamwona.. Anazidi elezea kuwa kila akinyanyua mabawa zinatoka sauti za kila namna, kuna bendera za marekani, viwanda vya kila namna etc..
 
hiyo avatar am sure na wewe ni mmoja wao(shetani)
 
Dhambi ni kufanya kinyume na matakwa ya amri kumi za MUNGU.
Dhambi ni nini kwani?
 
Satan is the state of mind...ibilisi wa mtu ni mtu....
Kwa hiyo ile mijitu anayotutumiaga kwa picha ndg Mzizi Mkavu ni imaginary? So, shetani hana physical form?
 
Kijana13 seems una ka elimu kapya, hebu funguka more
 
Mkuu

Naomba hiyo clip.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…